Vyovyote unavyopenda kutafsiri Mkuu..😎Gentleman,
kwamba Heche ni pilipili right?🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyovyote unavyopenda kutafsiri Mkuu..😎Gentleman,
kwamba Heche ni pilipili right?🤣
Heche angefaa kuwa chairman.. ni zaidi ya LissuKiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
kilimo si ndio uti wa mgongo wa Taifa gentleman, tujifunze kujitegemea ndrugo zango 🐒Labda kabla ya heche unge twambia wewe ni nani?
Mwandishi uchwara ?
Mwanasiasa uchwara?
Au kumiliki simu na bando kuna mfanya mtu kuwa mchambuzi uchwara?
"Uvivu tu wa kulima"View attachment 3193933
TakatakaKiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
jikite kwenye hoja gentleman bila kua na makasiriko na mtu yeyote 🐒Hakuna Kitu Mbowe atafanya Kwa hio miaka mitano anayotaka Mana anaelekea kwenye retirement age ambayo atashindwa Kufanya Active Politics matokeo yake miaka hii mitano anayolilia atajitahidi tu Kuwekeza Zaidi na Kuijenga familia yake vizuri ili akitoka kwenye active politics afurahie
Hakuna Kitu atafanya for the sake of the Party
ya chadema yanakuhusu nini wewe???Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Gentleman,Tunataka Kupata direction mpya Mbowe amekuwa kwenye Power for 20 yrs, Watawala wameshamzoea apishe watu wengine watu lead ili tupate Direction mpya
Svcker!useless comment of the day 🐒
ni mali ya wanachama wa chademaGentleman,
Chadema si ni mali ya umma na iko kwenye public domain?
kwani wewe ni nani hata uwe na uchungu sana na gubu na chadema zaidi ya John Heche?🐒
Gentleman,
kwahiyo muerevu huna mawazo mapya wala fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi right?
umebaki na mihemko tu kichwani na moyoni mwaka mpya huu, dah
maana wadau wengine mmejaa mihemko tu na hamna mawazo mapya wala fikra mbadala,Siku hizi JF imeshuka hadhi,akili kama za huyu kuku maji 🤔.
Uone basi hata aibu,maiti zinazozembea ni miongoni mwa hii.