Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
huyu si alikuwa MWENYEKITI BAVICHA Je hakuwa na busara Tujadili
kwani BAVICHA iliishia wapi gentleman,
kama sio aliwafundisha vijana mihemko na kuporomosha matusi mazito mazito tu wakishindwa hoja 🀣
 
Siku hizi JF imeshuka hadhi,akili kama za huyu kuku maji πŸ€”.

Uone basi hata aibu,maiti zinazozembea ni miongoni mwa hii.
 
sure,
makelele, mdomo, kiburi, jeuri na kubeti ni mambo ambayo yanawakera mno wajumbe wa mktano mkuu wa chadema Taifa,


na kwahivyo,
wajumbe wanayo kazi moja tu, nayo ni kumkataa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na wafuasi wake πŸ’

Andiko lako lina maneno mengi kabisa ya kinafiki, hiki ulichojibu ndicho ulipaswa kuandika na kuach unafiki.
 
Wewe kwa upupu ambao huwa unaandika kila mara hapa JF, una uwezo wa kujua nani afaaye na asiyefaa kuwa kiongozi? Wewe ishia tu kwenye uchawa, kazi ambao huwa inafanywa na wale walio na IQ below average.
 


Wabongo always tunaongoza Kwa kudharauliana
 
Andiko lako lina maneno mengi kabisa ya kinafiki, hiki ulichojibu ndicho ulipaswa kuandika na kuach unafiki.
muerevu ana relax,
halafu anaandika mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya andiko lenyewe kwa faida ya wadau wa JF,


sasa hii kumbwelambwela hapa ati sijui ulipaswa na nani kufanya nini, hiyo ni useless na completely nonsense gentleman πŸ’
 
Non sense!
 
Wewe kwa upupu ambao huwa unaandika kila mara hapa JF, una uwezo wa kujua nani afaaye na asiyefaa kuwa kiongozi? Wewe ishia tu kwenye uchawa, kazi ambao huwa inafanywa na wale walio na IQ below average.
naandika kwasabb nawafahamu vizuri,
Heche ni Mzee wa kupeti na aliwahi kuchapwa makofi na mama watoto wake licha ya ujeuri na kiburi alichonacho.

Hata pale,
BAVICHA amewaachia nini zaidi ya kuwafundisha mihemko na kuporomosha matusi mazito mazito pale mnaposhindwa hoja?

Huyo mwingine ni wazi ni kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
Infact,
wote hawana hekima wala busara za kua viongozi waandamizi wa Taasisi yoyote ile.

Na,
I can confirm to you, wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa watawashughulikia vibaya mno Jan.22,2025πŸ’
 
Lissu ni adui wa demokrasia na kirusi ndani ya chama rafiki CHADEMA
 
Infact,
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa wamejipanga kuwashikisha adabu kibaraka na makelele yake, lakini pia wafuasi wake wenye mihemko kiburi na ujeuri usio na kichwa wala mkia Jan 22,2025 πŸ’
Tusubiri
 

Unasoma saangapi ?
Unaandika saangapi machapisho Sio rahisi hivyo mkuu .

Hapa unachofanya unapambana ulipwe au kuingiza siku .


Wazalishaji wa maudhui huwa wanasoma Sana na kuandika mambo yenye fact zaidi
 
Pilipili usoila...
 
Labda kabla ya heche unge twambia wewe ni nani?
Mwandishi uchwara ?
Mwanasiasa uchwara?
Au kumiliki simu na bando kuna mfanya mtu kuwa mchambuzi uchwara?
"Uvivu tu wa kulima"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…