Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman.
Replace jina la Homeboy Heche uweke jina la Samia S.H. Hizo ndio sifa zake ulizoziandika.
hivi fake pastors mwaka jana mlikua wa ngapi?

mwaka huu nadhani mtaongezeka zaidi, ila kiongozi wenu yule Askofu anaeambatana na Lisu ana mdomo sana, kwanini yuko vile eti mchungaji feki?🐒
 
Small mind discuss people
Average mind discuss events
And Big mind discuss ideas.


Mtu hujanywa hata chai unaamka na kutazama haiba za watu .

Hata Kama unalipwa na Ccm Ila jaribu Kufungua ofisi hata saatatu

Au msipopost inakuaje
Hapati hata nauli
 
Ana kiburi cha jamii ya kikurya, hana maadili wala heshima kwa wanaomzidi umri. Hafai kuwa kiongozi labda uana harakati
 
CDM kitabakia chama cha siasa na si chama cha kiuana-harakati. Anayetaka uanaharakati akaanzishe chama chake ofisi za msajili zipo wazi 24/7
 
elezea wadau gentleman, hususani anae dai na kudhani Heche na huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni tishio kwenye vyama vingine bobevu vya kisiasa,

ni muhimu kufanya hivyo bila porojo na story za pata potea dhidi yangu 🐒
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Nyerere alikuwa mbobezi wa siasa za kimataifa kumzidi huyo Mbowe. Ukafika muda akanyoosha mikono na kukubali kuwa wakati ni ukuta.

Hakuna binadamu mwenye kuweza kushindana na namna muda unavyopita kwa kasi.

Wanachadema ndio watakaoamua siku ya uchaguzi mkuu.
 
sawa gentleman,
tusubiri tutawaona mchana kweupe viongozi wenye mwanzo, ambao vile vile ndio mwisho wa uongozi wao siku hiyo hiyo

aah aise,
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa bana dah, wanafurahisha sana, sijui kwanini hawapendi midomo na makelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…