Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Gentleman.
Replace jina la Homeboy Heche uweke jina la Samia S.H. Hizo ndio sifa zake ulizoziandika.
hivi fake pastors mwaka jana mlikua wa ngapi?

mwaka huu nadhani mtaongezeka zaidi, ila kiongozi wenu yule Askofu anaeambatana na Lisu ana mdomo sana, kwanini yuko vile eti mchungaji feki?šŸ’
 
Small mind discuss people
Average mind discuss events
And Big mind discuss ideas.


Mtu hujanywa hata chai unaamka na kutazama haiba za watu .

Hata Kama unalipwa na Ccm Ila jaribu Kufungua ofisi hata saatatu

Au msipopost inakuaje
Hapati hata nauli
 
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.

Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.

Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.

Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.

Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.šŸ’

Mungu Ibarki Tanzania
Ana kiburi cha jamii ya kikurya, hana maadili wala heshima kwa wanaomzidi umri. Hafai kuwa kiongozi labda uana harakati
 
CDM kitabakia chama cha siasa na si chama cha kiuana-harakati. Anayetaka uanaharakati akaanzishe chama chake ofisi za msajili zipo wazi 24/7
 
elezea wadau gentleman, hususani anae dai na kudhani Heche na huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ni tishio kwenye vyama vingine bobevu vya kisiasa,

ni muhimu kufanya hivyo bila porojo na story za pata potea dhidi yangu šŸ’
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Nyerere alikuwa mbobezi wa siasa za kimataifa kumzidi huyo Mbowe. Ukafika muda akanyoosha mikono na kukubali kuwa wakati ni ukuta.

Hakuna binadamu mwenye kuweza kushindana na namna muda unavyopita kwa kasi.

Wanachadema ndio watakaoamua siku ya uchaguzi mkuu.
 
Kila chenye mwanzo hakikosi mwisho Nyerere alikuwa mbobezi wa siasa za kimataifa kumzidi huyo Mbowe. Ukafika muda akanyoosha mikono na kukubali kuwa wakati ni ukuta.

Hakuna binadamu mwenye kuweza kushindana na namna muda unavyopita kwa kasi.

Wanachadema ndio watakaoamua siku ya uchaguzi mkuu.
sawa gentleman,
tusubiri tutawaona mchana kweupe viongozi wenye mwanzo, ambao vile vile ndio mwisho wa uongozi wao siku hiyo hiyo :pedroP:

aah aise,
wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema taifa bana dah, wanafurahisha sana, sijui kwanini hawapendi midomo na makelele:pedroP:
 
Back
Top Bottom