Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heche tunamfahamu na mchango wake tumeuona ndani na nje ya chama. Wewe ni nani na una mchango gani hata kwa chama Cha mapinduzi?.
 
Wewe una uwezo gani wa kuongoza hata kuku tu. Jaribu kuwa unawaza kwa ukubwa na mapana, mtu kawa Mbunge tena kachaguliwa wewe unakuja na matapishi yako ya komoni. Mpuuzi sana wewe.
Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa.
 
Leo trash mwenzako simuoni.. au hana bando nduguyo yule mzee wa kutukana wenzake. Oyaaa bro kaka uko poa Lucas Mwashambwa
 
ni kwasababau ya uvivu wako, umaskini, uzembe au tamaa zako za kutaka kujipatia kipato kirahisi rahisi bila kufanya kazi kwa bidii, ama ilikua vipi gentleman?
Wanasiasa wa Tanzania ninawajua vizuri sana Gentleman ndio maana nikajipa jina SIPENDI SIASA.

Jifunze kupitia mimi, utakuja kunishukuru siku moja. I was more than a patriot. Nilitumia kidogo nilichonacho kuipigania Tanzania, shavu wakapewa watoto wa Vigogo wa Polisi wa zamani na yule Kataraihya yule Binti mkurugenzi, mimi nikaishia kupewa matusi tu..

NILIKUWA PATRIOT KUKUZIDI WEWE GENTLEMAN..
 
πŸ˜€πŸ˜€HAYA BWANA HUWA NAMUONAGA HANA WOGA JASIRI NA YUKO SERIOUS
huenda anatumia vitu vya kusisimua ubongo,

but inasemekana nyumbani huwa anapitia manyanyaso ya kuchezea makofi sana. hawa wamama baba dah
 
Wewe una haiba gani?
Subiri pesa ya mama abdul tu ushibishe utumbo wako
 
lakini mbona hupitia madhila ya manyanyaso ya kijinsia awapo nyumbani?

ujasiri huwa unapotelea wapi sasa?
Sasa mambo ya nyumbani kwake yanatuhusu nini sisi?
Machawa wa ccm mna kazi awamu hii, msiyemtaka lazima aje
 
Sasa mambo ya nyumbani kwake yanatuhusu nini sisi?
Machawa wa ccm mna kazi awamu hii, msiyemtaka lazima aje
anabweka bweka nje tu ndani kadhibitiwa na mtu moja tu halafu eti anatamani kua kiongozi wa cham kweli?aπŸ’
 
Wewe una haiba gani?
Subiri pesa ya mama abdul tu ushibishe utumbo wako
ni muhimu sana akaacha kutumia vitu vya kusisimua akili na kubeti πŸ’
 
Nimesoma kidogo kwa kiwango changu ila wanasiasa wanaangalia kama ni mtoto wa kigogo au Mlalahoi..
anyway,
huenda kuna watu wanatumikishwa kwasabb ya hali zao za kinyonge kiuchumi,
ingawa pia ni kujifedhehesha mwenyewe.

nadhani ni muhimu zaidi kujiimarisha kiuchumi kwa kufanya kazi kwa bidii, lakini pia kutokukata tamaa unapokutana na ugumu.

my friends, ladies and gentlemen
Penye nia pana njia,

nilienda kugombea ubunge mfukoni nikiwa nina laki 5 tu, na nilitoa ushuhuda hata humu JF, leo hii waliniita nimechanganyikiwa eti wananuonea aibu , kwani mimi nina makosa gani hapo gentleman?🀣

haya maisha bana ni kama kombolela tu πŸ’
 
Sidhani Kama unalingana nae au yeye mzito zaidi. Kwani we una kilo ngapi labda za kwake tutagugo tu
Gentleman,
nalinganaje na mtu wa kiburi, ujeuri na kubeti?πŸ’
 
my friends, ladies and gentlemen
Penye nia pana njia,

nilienda kugombea ubunge mfukoni nikiwa nina laki 5 tu, na nilitoa ushuhuda hata humu JF, leo hii waliniita nimechanganyikiwa eti wananuonea aibu ,
Kama hii statement ni sahihi, hongera sana gentleman..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…