Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Pre GE2025 John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Heche tunamfahamu na mchango wake tumeuona ndani na nje ya chama. Wewe ni nani na una mchango gani hata kwa chama Cha mapinduzi?.
 
Wewe una uwezo gani wa kuongoza hata kuku tu. Jaribu kuwa unawaza kwa ukubwa na mapana, mtu kawa Mbunge tena kachaguliwa wewe unakuja na matapishi yako ya komoni. Mpuuzi sana wewe.
Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa.
 
Kiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.

Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.

Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.

Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.

Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
Leo trash mwenzako simuoni.. au hana bando nduguyo yule mzee wa kutukana wenzake. Oyaaa bro kaka uko poa Lucas Mwashambwa
 
ni kwasababau ya uvivu wako, umaskini, uzembe au tamaa zako za kutaka kujipatia kipato kirahisi rahisi bila kufanya kazi kwa bidii, ama ilikua vipi gentleman? :pedroP:
Wanasiasa wa Tanzania ninawajua vizuri sana Gentleman ndio maana nikajipa jina SIPENDI SIASA.

Jifunze kupitia mimi, utakuja kunishukuru siku moja. I was more than a patriot. Nilitumia kidogo nilichonacho kuipigania Tanzania, shavu wakapewa watoto wa Vigogo wa Polisi wa zamani na yule Kataraihya yule Binti mkurugenzi, mimi nikaishia kupewa matusi tu..

NILIKUWA PATRIOT KUKUZIDI WEWE GENTLEMAN..
 
😀😀HAYA BWANA HUWA NAMUONAGA HANA WOGA JASIRI NA YUKO SERIOUS
huenda anatumia vitu vya kusisimua ubongo,

but inasemekana nyumbani huwa anapitia manyanyaso ya kuchezea makofi sana. hawa wamama baba dah :pedroP:
 
Sio lazima kila siku upandishe Uzi .

Fanya hivi
Kuna siku unakuwa msomaji , unajipanga unafanya research mbalimbali either Kwa kusoma vitabu au kuingia google au kutazama documentary.


Hii itakusaidia Sana kuliko hivi mnaamka mnajadili watu badala ya ideas .
Wewe una haiba gani?
Subiri pesa ya mama abdul tu ushibishe utumbo wako
 
lakini mbona hupitia madhila ya manyanyaso ya kijinsia awapo nyumbani?

ujasiri huwa unapotelea wapi sasa?:pulpTRAVOLTA:
:pulpTRAVOLTA:
Sasa mambo ya nyumbani kwake yanatuhusu nini sisi?
Machawa wa ccm mna kazi awamu hii, msiyemtaka lazima aje
 
Sasa mambo ya nyumbani kwake yanatuhusu nini sisi?
Machawa wa ccm mna kazi awamu hii, msiyemtaka lazima aje
anabweka bweka nje tu ndani kadhibitiwa na mtu moja tu halafu eti anatamani kua kiongozi wa cham kweli?a🐒
 
Nimesoma kidogo kwa kiwango changu ila wanasiasa wanaangalia kama ni mtoto wa kigogo au Mlalahoi..
anyway,
huenda kuna watu wanatumikishwa kwasabb ya hali zao za kinyonge kiuchumi,
ingawa pia ni kujifedhehesha mwenyewe.

nadhani ni muhimu zaidi kujiimarisha kiuchumi kwa kufanya kazi kwa bidii, lakini pia kutokukata tamaa unapokutana na ugumu.

my friends, ladies and gentlemen
Penye nia pana njia,

nilienda kugombea ubunge mfukoni nikiwa nina laki 5 tu, na nilitoa ushuhuda hata humu JF, leo hii waliniita nimechanganyikiwa eti wananuonea aibu , kwani mimi nina makosa gani hapo gentleman?🤣

haya maisha bana ni kama kombolela tu 🐒
 
my friends, ladies and gentlemen
Penye nia pana njia,

nilienda kugombea ubunge mfukoni nikiwa nina laki 5 tu, na nilitoa ushuhuda hata humu JF, leo hii waliniita nimechanganyikiwa eti wananuonea aibu ,
Kama hii statement ni sahihi, hongera sana gentleman..
 
Back
Top Bottom