Ruhinda jr
Member
- Sep 13, 2024
- 87
- 117
Heche tunamfahamu na mchango wake tumeuona ndani na nje ya chama. Wewe ni nani na una mchango gani hata kwa chama Cha mapinduzi?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia amewahi kuwa mwenyekiti wa BAVICHA taifa.Wewe una uwezo gani wa kuongoza hata kuku tu. Jaribu kuwa unawaza kwa ukubwa na mapana, mtu kawa Mbunge tena kachaguliwa wewe unakuja na matapishi yako ya komoni. Mpuuzi sana wewe.
Leo trash mwenzako simuoni.. au hana bando nduguyo yule mzee wa kutukana wenzake. Oyaaa bro kaka uko poa Lucas MwashambwaKiukweli kabisa hata kwa macho ya nyama tu, John Heche hana haiba, muonekano, hekima wala busara ya kuwa kiongozi wa ngazi ya juu mathalani kuwa makamu mwenyekiti wa chadema Taifa.
Si mtaratibu wala mstaarabu mwenye subra, ni mtu wa vurugu na fujo, huenda ni zaidi ya kelele na mdomo wa anaemuunga mkono nafasi ya uenyekiti wa chadema Taifa.
Katika kujieleza kwake, kinachojidhihirisha mwanzo kabisaa wa maelezo yake ni kiburi, kisasi na ujeuri wa kiwango cha juu sana dhidi ya viongozi wa sasa wa chadema hususan mwenyekiti wa chadema Taifa. John Heche anajaribu kujieleza na kujipambanua kwa kufokafoka kwa hisia kali, akadhani eti ndio ataonekana jasiri au kwamba yeye ndie mwenye uchungu sana na chadema kuliko wengine, kumbe waerevu wenye hekima na busara wana muona kama mtu anaetumia vitu vya kusisimua akili na kumpa ujasiri wa kujieleza bila woga au kujali macho ya hadhira inayomskiliza.
Kisiasa,
maelezo, mtazamo na muonekano wa Heche vinatia shaka na vinamfanya aonekane kama vile anapitia changamoto au wakati fulani mgumu, na hivyo anaonekana kama mtu ambae si mwema na asie na dhamira au nia njema kwa chadema.
Siasa, hulka na tabia ya uzungumzaji wa John Heche, unashabihiana na unaendana na ule wa Tundu Lisu, na kwahiyo kuna uwezekano mkubwa wagombea hawa wakaungwa mkono na watu wa vurugu mithili ya majambazi wa kisiasa, na kusababisha wenye hekima na busara walazimike kuhama kambi kukwepa au kukimbia vurugu za Lisu na Heche uongozini.
Kwa kifupi,
John Heche ameshusha hadhi na kiwango cha kuaminika kwa Lisu miongni mwa wanao muunga mkono.
Lakini pia chemistry ya Heche na Lisu ni kitisho kwa demokrasia, msingi wa kuanzishwa kwa chadema na uhai wa chadema kwenye medani za siasa za Tanzania.🐒
Mungu Ibarki Tanzania
Wanasiasa wa Tanzania ninawajua vizuri sana Gentleman ndio maana nikajipa jina SIPENDI SIASA.ni kwasababau ya uvivu wako, umaskini, uzembe au tamaa zako za kutaka kujipatia kipato kirahisi rahisi bila kufanya kazi kwa bidii, ama ilikua vipi gentleman?![]()
Nimesoma kidogo kwa kiwango changu ila wanasiasa wanaangalia kama ni mtoto wa kigogo au Mlalahoi..umesoma soma kidogo? au ndio ile kanyaga twende?![]()
😀😀HAYA BWANA HUWA NAMUONAGA HANA WOGA JASIRI NA YUKO SERIOUSGentleman,
na alivyo addict wa kubeti,
anaweza kubeti na ruzuku yote ya chama yule 🐒
Wewe una haiba gani?Sio lazima kila siku upandishe Uzi .
Fanya hivi
Kuna siku unakuwa msomaji , unajipanga unafanya research mbalimbali either Kwa kusoma vitabu au kuingia google au kutazama documentary.
Hii itakusaidia Sana kuliko hivi mnaamka mnajadili watu badala ya ideas .
Sasa mambo ya nyumbani kwake yanatuhusu nini sisi?lakini mbona hupitia madhila ya manyanyaso ya kijinsia awapo nyumbani?
ujasiri huwa unapotelea wapi sasa?
![]()
anyway,Nimesoma kidogo kwa kiwango changu ila wanasiasa wanaangalia kama ni mtoto wa kigogo au Mlalahoi..
Sidhani Kama unalingana nae au yeye mzito zaidi. Kwani we una kilo ngapi labda za kwake tutagugo tukwahiyo Heche ni mtu mzito gentleman 🤣
Kama hii statement ni sahihi, hongera sana gentleman..my friends, ladies and gentlemen
Penye nia pana njia,
nilienda kugombea ubunge mfukoni nikiwa nina laki 5 tu, na nilitoa ushuhuda hata humu JF, leo hii waliniita nimechanganyikiwa eti wananuonea aibu ,
Bora yeye aiseGentleman,
nalinganaje na mtu wa kiburi, ujeuri na kubeti?🐒