Sahihi mkuu... mtu anakuja kupata akili ana madeni kibao kisa betting!Naam sio kutegemea katika bahati nasibu
Betting ni janga lingine kwa vijana.sijawahi kusikia mtu kutajirika kwa betting.Betting itaondoa umasikini kwa vijana?
Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
sijawahi kumuona mtu anayebet anayewakandia au kuwasema vibaya wasiobet ila nyie msiobet Ndo kila siku kuanzisha vijamada vyenu uchwara kuwasema wanaobet kwamba wanapotea kama vile wanatumia pesa zenu mfukoni.Kwani wao wana nini cha maana cha kuwazidi wasiobet?
Havina Dola vifanyeje!!..Vyama vingine vina kazi gani?
Wapi nimewasema vibaya wanaobet? au wapi ulipoona wamesemwa vibaya Kwenye huu uzi?sijawahi kumuona mtu anayebet anayewakandia au kuwasema vibaya wasiobet ila nyie msiobet Ndo kila siku kuanzisha vijamada vyenu uchwara kuwasema wanaobet kwamba wanapotea kama vile wanatumia pesa zenu mfukoni.
narudia tena nyie msiobet mmewazidi nini wanaobet?
Heche peke yake kutoka CDM ndo naona anajaribu kutoa elimu chanya kuhusu hili suala la betting kwa vijana pia analifanya kwa wogaHavina Dola vifanyeje!!..
Huwaoni CHADEMA wakijaribu hata kushauri..Wanafunguliwa kesi za Ugaidi na Uhaini???
Kwa ccm betting ni uwekezajiBetting itaondoa umasikini kwa vijana?
Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!