Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hata kubeti kwa Bidii pia?Kufanya kazi kwa bidii tu, ndio kuna mafanikio!
Hata kubeti kwa Bidii pia?Kufanya kazi kwa bidii tu, ndio kuna mafanikio!
HahahahKwani wao wana nini cha maana cha kuwazidi wasiobet?
Wanaobeti Wana madeni mengi kila kona, yaani wanatembea na msongo wa mawazo kila mahali, Hicho wanatuzidikwani nyie ambao hambeti mna nini cha maana mlicho wazidi wanaobet? Nyote si mnakaa kwa mashemeji zenu tu
Mbona hatukusikia CHADEMA wakipinga haya makampuni ya kamali kuingia humu nchini Tanzania kipindi wakiwa Bungeni?!Kwa ccm betting ni uwekezaji
Na kubet kwa bidii ni sehemu ya kufanya kazi kwa bidii sio? NIMEKUSOMA!!👍👍👍👍Kufanya kazi kwa bidii tu, ndio kuna mafanikio!
Hahahaaaaa thubutu!Hata kubeti kwa Bidii pia?
HahaHahahaaaaa thubutu!
Chadema ndio TIC?Mbona hatukusikia CHADEMA wakipinga haya makampuni ya kamali kuingia humu nchini Tanzania kipindi wakiwa Bungeni?!
Bidii ya kumchangia mhindi tu! mkuuNa kubet kwa bidii ni sehemu ya kufanya kazi kwa bidii sio? NIMEKUSOMA!!
🤣🤣Bidii ya kumchangia mhindi tu! mkuu
Kuna wanaotoka Mkuu. Ni kama anayekopa ili alime na msimu huo mvua hakuna! Ahahahahaha!!Bidii ya kumchangia mhindi tu! mkuu
Betting itaondoa umasikini kwa vijana?
Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
Yah! inategmea na destiny ya mtu!Kuna wanaotoka Mkuu. Ni kama anayekopa ili alime na msimu huo mvua hakuna! Ahahahahaha!!
Good!👍👍👍👍Yah! inategmea na destiny ya mtu!
Niliacha mkuu ila chamoto nilikipataUliwezaje kuacha Mkuu?