John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

Kwani wao wana nini cha maana cha kuwazidi wasiobet?
sijawahi kumuona mtu anayebet anayewakandia au kuwasema vibaya wasiobet ila nyie msiobet Ndo kila siku kuanzisha vijamada vyenu uchwara kuwasema wanaobet kwamba wanapotea kama vile wanatumia pesa zenu mfukoni.

narudia tena nyie msiobet mmewazidi nini wanaobet?
 
Wapi nimewasema vibaya wanaobet? au wapi ulipoona wamesemwa vibaya Kwenye huu uzi?
 
Havina Dola vifanyeje!!..
Huwaoni CHADEMA wakijaribu hata kushauri..Wanafunguliwa kesi za Ugaidi na Uhaini???
Heche peke yake kutoka CDM ndo naona anajaribu kutoa elimu chanya kuhusu hili suala la betting kwa vijana pia analifanya kwa woga

Lissu ashawahi kuipromote kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…