John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

kwani nyie ambao hambeti mna nini cha maana mlicho wazidi wanaobet? Nyote si mnakaa kwa mashemeji zenu tu
Wanaobeti Wana madeni mengi kila kona, yaani wanatembea na msongo wa mawazo kila mahali, Hicho wanatuzidi
 
Betting haina ubaya wowote, kwenye maisha ukiwa kama kijana lazima kila siku uwe na unatarajia chochote, unaweka mitego yako sehemu mbali mbali, hii inasaidia sana akili kuwa active, sio mtu umeajiriwa we unasubiri mwisho wa mwezi tuu,

Mtu anayebet ni risk taker, huyu kila siku anakuwa ana matarajio fulani, either apate au akose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…