John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima,

Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika.

Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka.

Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.

1785047181903.png
 
Sipati sababu hasa ya kwanini serikale hii ya Mbogamboga wanamuogopa sana Lissu
 
Hii serikali inafanya mambo mengi ya uonevu, kijinga na kitoto. Mojawapo ni hili la kumshikilia mtu gerezani kwa zaidi ya mwaka sasa huku akiwa hana kosa lolote.
 
Yaan ni kama sikio la kufa
Jumuiya ya madola wamewapa siku 60 kesi za kisiasa zifutwe lakini wao ndio wanazidi kukamata wapinzani na kuwafungulia mashitaka ya ugaidi kisa maandamano ya July 7

ngoja tuone watawa nyamazisha wangapi watawaua wangapi? watawafunga wangapi?
 
Back
Top Bottom