Sipati sababu hasa ya kwanini serikale hii ya Mbogamboga wanamuogopa sana LissuKiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima,
Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika.
Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka.
Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
Hawamuogopi Lissu wanaogopa ANGUKO Lao!.Sipati sababu hasa ya kwanini serikale hii ya Mbogamboga wanamuogopa sana Lissu
Naamini mwisho wao utakuwa wa maumivu sana kiakiliHawamuogopi Lissu wanaogopa ANGUKO Lao!.
Bahati mbaya yao hawajui kwamba,mtu mwovu anachokiogopa ndicho kitakachompata!
Yani usemi wa yule chizi yakua aliwazaro mjinga ?Hawamuogopi Lissu wanaogopa ANGUKO Lao!.
Bahati mbaya yao hawajui kwamba,mtu mwovu anachokiogopa ndicho kitakachompata!
Hii serikali inafanya mambo mengi ya uonevu, kijinga na kitoto. Mojawapo ni hili la kumshikilia mtu gerezani kwa zaidi ya mwaka sasa huku akiwa hana kosa lolote.