Pre GE2025 John Heche kumuunga mkono Lissu asema Lissu ni mkweli, muwazi na muadilifu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
AMESHAJICHIMBIA KABURI KWA MTU AMBAYE HATASHINDA UENYEKITI SIJUI WATAKIMBILIA WAPI MBOWE HANA CHA KUPOTEZA AKISHINDA HATA CHAMA KIKIFA HANA SHIDA ATAKUWA AMEWANYOOSHA HAO WANAOMKATAA SASAHIVI
Hiki ndio mnachofeli huko CCM. Mnajua kabisa huyu kiongozi ni mbovu hafai ila mnakuwa upande wake kisa ana nafasi ya kushinda. Hamjali kabisa yatayowakuta wananchi.
 
Umenena vyema.
 
Chawa wa Mwamba walamba viatu wanahaha Mwamba asiposhinda maisha yatakuwa magumu sana.
 
Mbowe must go
 
Vijana hawa wamenyoka kama Ruler
 
Yeye ana ushahidi wa aliyoyasema? Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha mahakama au sayansi
Tapeli unakimbia kuthibitisha. Mbona wenje kasema alienda na Abdul kwa lisu akawatimua. Thibitsha hiyo Heche kupewa rushwa
 
Kiumbe aliyeumbwa na Mungu huwa hajijui hadi awekewe kioo. Kioo chako ni sisi ukumbuke. Hivyo nakujua kuwa ni maskini jeuri na mbangaizaji anayejiita Bilionea wa kike
Ndio maana nikasema hunijui
 
kwa namna gani mkuu, we unaona hana sifa za kugombea kiti?
Sifa anazo kikatiba, tatizo anashtumu viongozi wenzake halafu anataka kuwaongoza, wapi umeona duniani hivyo?
 
Lisu na heche hawana cha kupoteza hata nje ya Siasa watapata kazi nyingi za kufanya na maisha yanaendelea, Mbowe akikosa uenyekiti atakufa kwa pressure kwani katumia pesa nyingi sana kununua uenyekiti na pesa zitamwishia akikosa uenyekiti anajua ana kesi nyingi za ufisadi wa pesa za chama na Rushwa za ngono atakufa kwa mawazo
 
Sifa anazo kikatiba, tatizo anashtumu viongozi wenzake halafu anataka kuwaongoza, wapi umeona duniani hivyo?
kwenye hizi shutuma wanachama na wafuasi wamezipokeaje. hizi shutuma zimekuja muda muafaka mkuu
 
Mbowe ni mwizi wa pesa za chama kisha huzitakatisha kwa gia kuwa alikikopesha chama
 
kwenye hizi shutuma wanachama na wafuasi wamezipokeaje. hizi shutuma zimekuja muda muafaka mkuu
Mbowe hajazoea kampeni alizoea kupita bila kupingwa sasa 2024 ipo kivingine lazima madudu ya mbowe yaanikwe kwani si mageni yapo kitambo tokea kipindi cha wangwe zito na wengineo
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…