Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Soon Lema atafuata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ndio mnachofeli huko CCM. Mnajua kabisa huyu kiongozi ni mbovu hafai ila mnakuwa upande wake kisa ana nafasi ya kushinda. Hamjali kabisa yatayowakuta wananchi.AMESHAJICHIMBIA KABURI KWA MTU AMBAYE HATASHINDA UENYEKITI SIJUI WATAKIMBILIA WAPI MBOWE HANA CHA KUPOTEZA AKISHINDA HATA CHAMA KIKIFA HANA SHIDA ATAKUWA AMEWANYOOSHA HAO WANAOMKATAA SASAHIVI
Umenena vyema.Mbowe alitamani sana kuachia uenyekiti wa Chama kwa heshima na aendelee kuwa mjumbe wa kudumu wa Kamati nyeti. Ila sasa, machawa ambao hawawezi kusurvive bila yeye na baadhi ya watu ndani ya mfumo either wamemconvince aendelee kubaki au wamemtisha kwamba maslahi yake yatakuwa shakani kama ataachia kiti
Hata kama Mbowe atashinda kiti, heshima yake kwa jamii na imani ya wananchi wapenda mabadiliko wasio na kadi za chama chochote cha siasa (ambao ni wengi sana) itapotea kwa Chadema na CCM haitohitaji kuiba kura nyingi hapo October 2025
Jikite kwenye hoja,sio.kuchafua watu tuHuyu aliyenunuliwa matrekta na Abdul akajengewa na nyumba Mwanza kule Nyegezi?
Yes kazi inaendelea, Mbowe Must GoSoon Lema atafuata
HapanaKwa hivyo atapambana na wenje? Au atakuwa katibu wa maria space?
Mbowe must go==
Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote.
Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu Lissu kuamua kugombea yeye ameamua kumpisha Tundu Lissu kwani anaamini nafasi hiyo ya Uenyekiti anaiweza zaidi na ndio sababu ya kumuunga mkono.
Mpaka sasa haijafahamika kama John Heche atagombea nafasi yoyote ndani ya chama au atabaki pembeni kumuunga mkono Tundu Lissu,
Tusubiri tuone mpaka hiyo tarehe 05.01.2025 ambae ndio mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu Kwa mujibu wa kalenda ya Uchaguzi ya chama.
View attachment 3189380
==
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz), @HecheJohn, ameonesha dhamira yake ya kuendelea kupigania mustakabali wa chama hicho na Taifa kwa ujumla.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Jumanne Desemba 31, 2024,
Heche ameandika ujumbe mzito akisisitiza umuhimu wa CHADEMA kama taasisi muhimu kwa maslahi ya taifa na wananchi wa Tanzania.
"Tuna taasisi ya kuilinda, tuna nchi ya kutetea, tuna Watanzania wa kupigania. CHADEMA ikifa madhara yake ni makubwa mno kwa nchi yetu," aliandika Heche.
Katika ujumbe huo, Heche amemuelezea mwanasiasa mashuhuri na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara @TunduALissu, kama kiongozi mwadilifu, mkweli, na mwenye uwazi wa hali ya juu.
"Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi," aliandika, akionesha imani yake kubwa kwa Lissu.
Lissu, ambaye kwa sasa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, ameendelea kuungwa mkono na viongozi na wafuasi wa chama hicho.
Uchaguzi wa nafasi hiyo unatarajiwa kufanyika tarehe 21.02.2025.
Ndiyo watu mliowashindwa hao. Makaona mtumie wenje kuoeleka rushwa jamaa kawatolea mbavuniHuyu aliyenunuliwa matrekta na Abdul akajengewa na nyumba Mwanza kule Nyegezi?
Vijana hawa wamenyoka kama Ruler==
Mhe John Heche anasema yeye waziwazi anamuunga mkono Mhe Tundu Lissu kwa sababu ni mtu mkweli sana ni muadilifu sana na anachukia rushwa kwa moyo na nguvu zake zote.
Mhe John Heche ilitarajiwa na wengi kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa lakini baada ya Mhe Tundu Lissu kuamua kugombea yeye ameamua kumpisha Tundu Lissu kwani anaamini nafasi hiyo ya Uenyekiti anaiweza zaidi na ndio sababu ya kumuunga mkono.
Mpaka sasa haijafahamika kama John Heche atagombea nafasi yoyote ndani ya chama au atabaki pembeni kumuunga mkono Tundu Lissu,
Tusubiri tuone mpaka hiyo tarehe 05.01.2025 ambae ndio mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu Kwa mujibu wa kalenda ya Uchaguzi ya chama.
View attachment 3189380
==
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz), @HecheJohn, ameonesha dhamira yake ya kuendelea kupigania mustakabali wa chama hicho na Taifa kwa ujumla.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Jumanne Desemba 31, 2024,
Heche ameandika ujumbe mzito akisisitiza umuhimu wa CHADEMA kama taasisi muhimu kwa maslahi ya taifa na wananchi wa Tanzania.
"Tuna taasisi ya kuilinda, tuna nchi ya kutetea, tuna Watanzania wa kupigania. CHADEMA ikifa madhara yake ni makubwa mno kwa nchi yetu," aliandika Heche.
Katika ujumbe huo, Heche amemuelezea mwanasiasa mashuhuri na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara @TunduALissu, kama kiongozi mwadilifu, mkweli, na mwenye uwazi wa hali ya juu.
"Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi," aliandika, akionesha imani yake kubwa kwa Lissu.
Lissu, ambaye kwa sasa ni mmoja wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, ameendelea kuungwa mkono na viongozi na wafuasi wa chama hicho.
Uchaguzi wa nafasi hiyo unatarajiwa kufanyika tarehe 21.02.2025.
Tapeli unakimbia kuthibitisha. Mbona wenje kasema alienda na Abdul kwa lisu akawatimua. Thibitsha hiyo Heche kupewa rushwaYeye ana ushahidi wa aliyoyasema? Siasa haihitaji ushahidi wa kiwango cha mahakama au sayansi
mkuu maria space inashida gani?Kwa hivyo atapambana na wenje? Au atakuwa katibu wa maria space?
Imemvuruga Lissu akilimkuu maria space inashida gani?
kwa namna gani mkuu, we unaona hana sifa za kugombea kiti?Imemvuruga Lissu akili
Ndio maana nikasema hunijuiKiumbe aliyeumbwa na Mungu huwa hajijui hadi awekewe kioo. Kioo chako ni sisi ukumbuke. Hivyo nakujua kuwa ni maskini jeuri na mbangaizaji anayejiita Bilionea wa kike
Sifa anazo kikatiba, tatizo anashtumu viongozi wenzake halafu anataka kuwaongoza, wapi umeona duniani hivyo?kwa namna gani mkuu, we unaona hana sifa za kugombea kiti?
kwenye hizi shutuma wanachama na wafuasi wamezipokeaje. hizi shutuma zimekuja muda muafaka mkuuSifa anazo kikatiba, tatizo anashtumu viongozi wenzake halafu anataka kuwaongoza, wapi umeona duniani hivyo?
Mbowe hajazoea kampeni alizoea kupita bila kupingwa sasa 2024 ipo kivingine lazima madudu ya mbowe yaanikwe kwani si mageni yapo kitambo tokea kipindi cha wangwe zito na wengineokwenye hizi shutuma wanachama na wafuasi wamezipokeaje. hizi shutuma zimekuja muda muafaka mkuu