John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.

Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.

Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000

Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.

Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.

Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.

Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.

Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.

Watanzania tusikubali huu wizi.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Hakuna anayeumia. Mwenye uchungu na Tanganyika alikuwa Nyerere peke yake, na alishajifia.

Wanapora, wanahujumu wanabeba tani yao. Ole wako uinue mdomo kuhoji. Utaokotwa kwenye viroba.
 
Hakuna anayeumia. Mwenye uchungu na Tanganyika alikuwa Nyerere peke yake, na alishajifia.

Wanapora, wanahujumu wanabeba tani yao. Ole wako uinue mdomo kuhoji. Utaokotwa kwenye viroba.
Isee ni kweli kabisa aliyekuwa na uchungu wa kweli kabisa na hii nchi ni Nyerere peke yake yule mwendazake alikuwa muigizaji zaidi.
 
Dogo atembeze spana relentlessly mpaka nchi iongee lugha moja!
 
ILI KUJUA HII NI CHAI AU SIYO CHAI,AJABU KWA MUDA HUU BEI YA MAFUTA TANZANIA NDIYO NAFUU SANA KULIKO NCHI ZOTE ZILIZOTUZUNGUKA,MSILISHWE TU MAHARAGWE NA WENDAWAZIMU/ JUST GOOGLE AND MAKE COMPARISONS.....
Chawa,
Wacha uongo na propaganda, jibu swali la Mh. Heche.
Halafu, em tuwekee hapa hizo ulizo gugo tulinganishe na uhalisia
 
ILI KUJUA HII NI CHAI AU SIYO CHAI,AJABU KWA MUDA HUU BEI YA MAFUTA TANZANIA NDIYO NAFUU SANA KULIKO NCHI ZOTE ZILIZOTUZUNGUKA,MSILISHWE TU MAHARAGWE NA WENDAWAZIMU/ JUST GOOGLE AND MAKE COMPARISONS.....
Kinachozungumzwa hapabni bei ya kununulia na si ya kuuzia.
Nchi zina mifumo ya ushuru na tozo tofauti tofauti.
Swali kwa nini TZ wana nunua kwa bei ya juu toka kampuni ile ile na bidhaa ile ule? Hilo ndilo swali la kujibiwa ok.
 
ILI KUJUA HII NI CHAI AU SIYO CHAI,AJABU KWA MUDA HUU BEI YA MAFUTA TANZANIA NDIYO NAFUU SANA KULIKO NCHI ZOTE ZILIZOTUZUNGUKA,MSILISHWE TU MAHARAGWE NA WENDAWAZIMU/ JUST GOOGLE AND MAKE COMPARISONS.....
Hivi machawa wa CCM kichwani mna ubongo kama binadamu timamu kweli!!??
Nadhani Lumumba wameajiri vilaza mitandaoni ili wawalipe tuhela kidogo kwa kadri ya uelewa wenu mdogo.
 
Utekwaji wa balozi Humphrey Polepole na kupotezwa mazima umeacha mafunzo kadhaa kwa nchi yetu.

1. Adui wa maendeleo ya Tanzania siyo mabeberu mbali ni watanzania wenzetu waliojificha kwenye tawi la chama cha mapinduzi linaloitwa ccm mtandao. Ccm hawana nia ya dhati ya kutatua matatizo ya watanzania ila wana nia ya dhati ya kutumia matatizo ya watanzania kujinufaisha wao wenyewe na familia kupitia kutengeneza fedha nyingi sana, kuhujumiwa kwa bwawa la mwl nyerere, makaa ya mawe, gesi na Sgr ni mfano wa nia yao hiyo.

2. Jakaya Kikwete na Rostam Aziz ni tatizo kubwa kwenye nchi hii na Rais yoyote ajaye hawezi kuongoza nchi kwa raha ikiwa Hawa mabwana bado wapo duniani.

3.Balozi Humphrey Polepole ameifanyia kazi kubwa ccm lakini alipotekwa na kuacha damu nyingi sana waliopaza sauti ya kumlilia siyo ccm ni Chadema. Kwa hiyo hata hao wanaoitukana Chadema leo huenda ndiyo ikawa mtetezi wao siku zijazo.

4.Kiongozi aliyekulia kwenye mazingira ya kupewa misaada hata akija kuwa Rais akili yake itabaki kwenye kuomba msaada tu.
Atagawa rasilimali zote alafu ataenda kuomba msaada kwa aliowagawia rasilimali zake.

5. Kutunga sheria tu haitoshi kwani Rais Magufuli alitunga sheria ya ulinzi wa rasilimali za taifa, kwamba ili ubinafisishe rasilimali yoyote ya taifa ni lazima huo mkataba ukajadiliwe kwa uwazi bungeni lakini serikali ya awamu ya sita imesaini mikataba zaidi ya 60 inayohusu rasilimali za taifa bila kuipeleka bungeni.

6. Siyo rahisi kumfanyia Rais wa nchi jambo baya bila yeye kupata taarifa kwanza, Rais Magufuli alikuwa anajua njama zinazopangwa na wanaozipanga kumuuwa lakini alipuuzia, alionyeshwa hadi barua zenye code tupu zikiwa zinatoka kwa kiongozi mkubwa msitaafu wa ccm mtandao. Kama Rais Magufuli angeamua kuzifanyia kazi hizo barua angewafikia na kuwaangamiza kabla hawajamwangamiza.

7. Kwenye kujilinda usimwamini mtu yoyote kwani waliomsaliti na kuchora ramani ya alipojificha Humphrey Polepole ni watu wake wa karibu sana kwa miaka mingi.

8. Wanaccm wote wanaomba ya October 29 yasijirudie tena kwani yakijirudia tena kwenye uchaguzi wa 2030 itakuwa balaa, wananchi watalipiza kisasi kwa kiwango ambacho hakijapata kutokea.

9.Waliojigamba kuifungua nchi sasa wameifunga kuliko kipindi chochote cha historia ya nchi hii. Tanzania inasemwa na kusimangwa kutoka sehemu zote duniani.

Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania hawezi kusafiri kwenda nchi za Ulaya kwa sababu ya udikteta wake,utekaji na mauwaji .

10. CCM ili waondoke madarakani ni wananchi kurudia tena kwa nguvu zaidi walichokifanya October 29/2025. Viongozi wa ccm kuanzia ngazi ya kijiji mpaka taifa lazima wajihisi hawako salama kuanzia wao wenyewe, familia zao na biashara zao. Nchi nzima lazima iamke kuchoma moto mali zao hapo sasa ndio watakubali uchaguzi huru na wa haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…