John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.

Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.

Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000

Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.

Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.

Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.

Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.

Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.

Watanzania tusikubali huu wizi.

Alisema tutamkumbuka akiwa Mkoani Iringa kwenye ziara ya kikazi
 
Na wakiwa hawapo nani akaimu??
Cc
Namba 10
 
Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali.

Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000.

Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000

Msumbiji usd 90 sawa na 238,500.

Hawa watu wanaoitwa NAMARO na TPDC wamehusikaje kwenye huu ufisadi wa kufilisi Nchi.

Huu ni uhujumu uchumi mkubwa kuwahi kutokea katika Nchi hii.

Kuna zaidi ya 1.2 trilioni imeibiwa katika mafuta.

Katibu mkuu wa Nishati bwana Mataragio alisema tuna mafuta ya kutumia miezi mitatu.

Watanzania tusikubali huu wizi.

Pia ni vema kukumbuka kuwa Mtendaji Mkuu wa TPDC ni Mzanzibar.
 
Humuoni hapa wakuitwa tilatilah au mwashambwa na lumumba buku 7fc wote ng'ooo wanatoa mimacha huko Kama mijusi iliyobanwa mkia mlangoni
 
Jifunze kuelewa kwanza,ili kufahamu analofanya ni majungu,that mean kwa tanzania na kwa bei alizoweka tungeuziwa mafuta mitaani kwa 7000/----->>10,000/-
Kama kenya wanauziwa cheap kuliko sisi kwenye sheli zao yanawezaje kuuzwa 4500/-???
Kodi ndio kubwa kwenye mafuta. Kila nchi inategemea imeweka kodi kiasi gani, hiyo ndio inaamua bei iwe kiasi gani
 
Jifunze kuelewa kwanza,ili kufahamu analofanya ni majungu,that mean kwa tanzania na kwa bei alizoweka tungeuziwa mafuta mitaani kwa 7000/----->>10,000/-
Kama kenya wanauziwa cheap kuliko sisi kwenye sheli zao yanawezaje kuuzwa 4500/-???
Inawezekana hujui namna dili za Manunuzi zinavyochezwa au labda ukungu wa uchawa umeziba ubongo wako. Yaani wauze mafuta 7k si hata wewe usiye na akili utajiuliza maswali?

Ishu hapa ni pesa za hazina na siyo faida inayotokana na mauzo ya mafuta. Fikiria "aliyecheza hilo dili" labda ni sehemu ya VITOL, serikali italipa hela ambayo iko quoted (inflated price) ila bei halisi atapewa VITOL na hicho cha juu itaelekezwa kunakojulikana, VITOL yeye anatumika tu kama daraja. Kwa hiyo unakuta kuna bei halisi na inflated price.
 
Achana na huyo anayejiita crocodiletooth. Inaonekana kabisa ufahamu wake ni mdogo sana. Yaani machawa kama wanashindwa kuelewa hili jambo dogo tu, sembuse mambo mengine atakayoeleza Heche wataelewa kweli?. Ngoja waendelee kumsifia Hipoppotumus maana akili zao zote zinafanana za form form failure
 
ILI KUJUA HII NI CHAI AU SIYO CHAI,AJABU KWA MUDA HUU BEI YA MAFUTA TANZANIA NDIYO NAFUU SANA KULIKO NCHI ZOTE ZILIZOTUZUNGUKA,MSILISHWE TU MAHARAGWE NA WENDAWAZIMU/ JUST GOOGLE AND MAKE COMPARISONS.....
Nmegugo nmegundua umeongopa sis tuna pigwa
 
Nmegugo nmegundua umeongopa sis tuna pigwa
Achana na huyo anayejiita crocodiletooth. Inaonekana kabisa ufahamu wake ni mdogo sana. Yaani machawa kama wanashindwa kuelewa hili jambo dogo tu, sembuse mambo mengine atakayoeleza Heche wataelewa kweli?. Ngoja waendelee kumsifia Hipoppotumus maana akili zao zote zinafanana za form form failure
Nimeelewa sana I am not a zuzu, kuna almost ~$ 160 per/ barrel zisizo na maelezo kwa nini zizidi????, but still mafuta kwetu ni nafuu ZAIDI!
 
Hizo point 1-10 kifupi chake ni hivi..maadui wa Tanganyika
1. Tiss
2.waislamu
3.wanamtandao
Ccm haipo..kuitaja ni sawa na kugeuza macho yahamie kwenye kisogo.
Kaweka wazi kuwa CCM kwa sasa haipo. Wanamtandao wamekiteka kwa kuwatumia hao hao uliowataja na kukifanya kichaka chao cha kujificha. Hasa wanapotenda maovu yao.

Nimèpenda aliposema adui yako ni mtu wako wa karibu. Sasa wanamtandao wajiulize " Nani kati yao aliyetoa siri zao na kumpatia Heche?"
 
Ndio hao wanajenga refinery kule Tanga?
 
Back
Top Bottom