John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

Hizo point 1-10 kifupi chake ni hivi..maadui wa Tanganyika
1. Tiss
2.waislamu
3.wanamtandao
Ccm haipo..kuitaja ni sawa na kugeuza macho yahamie kwenye kisogo.
 
The USD 260 per metric ton figure relates to a recent controversy and public debate in Tanzania regarding the cost of petroleum imports.

The query centers around a comparative pricing issue within the East African energy sector:
The Core Issue: Public figures and civil society have questioned why petroleum products are imported via VITOL at a reported USD 200 to 260 per metric ton (mt).

The Regional Comparison: Concerns have been raised over why this price is higher than the roughly USD 83 to 90 per ton reported for neighboring countries like Uganda and Mozambique.

The Entities Involved: The debate heavily involves the Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and intermediary companies like Namaro, with citizens demanding transparency regarding the tender processes.
 
Gerson kupitia Lucas bado amelala subiri aamke
 
Isee ni kweli kabisa aliyekuwa na uchungu wa kweli kabisa na hii nchi ni Nyerere peke yake yule mwendazake alikuwa muigizaji zaidi.
... 'yule mwendazake alikuwa muigizaji zaidi'... Tuwe wakweli jamani!

Hivi mwigizaji anaweza kujenga Sgr na nyerere highdro power na mengine mengi makubwa kwa kipindi chake kifupi?

Duh, kweli nchi hii ina watu na viatu kumbe!
 
Hapa ni habari ya bei ya mafuta.
Hayo mengine yapeleke kunakohusika.
 
ILI KUJUA HII NI CHAI AU SIYO CHAI,AJABU KWA MUDA HUU BEI YA MAFUTA TANZANIA NDIYO NAFUU SANA KULIKO NCHI ZOTE ZILIZOTUZUNGUKA,MSILISHWE TU MAHARAGWE NA WENDAWAZIMU/ JUST GOOGLE AND MAKE COMPARISONS.....
Heche ametaja hadi kiwango, ww unasema tugoogle! Si utaje kiwango badala ya kusema sisi tuna nafuu kuliko wanaotuzunguka?
 
Je ni kweli kuna tofauti hiyo kwenye bei?
 
Saf
 
Heche ametaja hadi kiwango, ww unasema tugoogle! Si utaje kiwango badala ya kusema sisi tuna nafuu kuliko wanaotuzunguka?
Jifunze kuelewa kwanza,ili kufahamu analofanya ni majungu,that mean kwa tanzania na kwa bei alizoweka tungeuziwa mafuta mitaani kwa 7000/----->>10,000/-
Kama kenya wanauziwa cheap kuliko sisi kwenye sheli zao yanawezaje kuuzwa 4500/-???
 
Sahihi mkuu,
Hii post inafaa kuwa uzi unaijitegemea
 
AISEE WACHA NIENDESHE TU BASKELI YANGU
TUNAPOELEKEA NA UMEME TUTASHINDWA KUENDESHA YALE MABAJAJIYETU YA BETRI

WAISHIEHUKOHUKO
 
Namba 10
Member msomi
Waende wapi?
?na kwanani?
Wakafanye nn huko??
na warudilini??
Na usafiri gani??
Hawa mbona tukonao sana tu
Embu nkasali kwa mwamposa msikose leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…