Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,158
- 1,746
Kama kazi ya chama ni kuisimamia serikali na mhimili wa bunge kazi yake nini? Au ccm imekuwa muhimili wa nne? Mambo ya chama kuisimamia serikali sio takwa la kikatiba, ni mambo yenu ya ndani ya chama chenu. Serikali ni ya wa-Tanzania wote, vyama ni kwa ajili ya wanasiasa.Wewe ndo huelewi! Chama Kinawajibika kuisimamia serkali ili wananchi wapate huduma na maendeleo!
Ndo maana tuna mihimili Mira tu Mahakama,Bunge na Serkali! Serkali mkuu wake ni Rais ambaye ni zao la chama cha siasa!
Ukituliza kichwa ukaacha mihemko na unyumbu utanielewa!
Tatizo lenu CHADEMA mnajitia ujuaji wa kujua kila jambo!
Kwani wanasiasa sio sehemu ya watanzania? wanasiasa nao ni sehemu ya watanzania, na ndio maana serikali ikiingia madarakani husema itatutumikia wote bila kujali vyama vyetu.Kama kazi ya chama ni kuisimamia serikali na mhimili wa bunge kazi yake nini? Au ccm imekuwa muhimili wa nne? Mambo ya chama kuisimamia serikali sio takwa la kikatiba, ni mambo yenu ya ndani ya chama chenu. Serikali ni ya wa-Tanzania wote, vyama ni kwa ajili ya wanasiasa.
Nimelizungumzia jukwaa alilotumia bwana bashite kuwapa maagizo huku akijua mamlaka za kufanya hivyo zipoNauliza tena "mtumishi wa umma" ni nani?
Kwani neno "umma" linawatenga wanasiasa?
Kwamba tuseme "wanasiasa" sio miongoni mwa umma wa watanzania?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Makonda ndio aliharibu mota?Wananchi wengi waliokuwa wakidai madeni katika halmashauri mbalimbali wamelipwa madeni waliyokuwa wakidai baada ya ziara ya Makonda.Hahaa! Mnatengeneza tatizo na kulitatua ili kuwapata wadanganyika. Ccm kwa komedi hamjambo
Mbunge mbinafsi haisimamii serikali bali kuwakilisha wananchi bungeni. Kuna bunge kama chombo kupitia kamati zake ndio zinaisimamia serikali. Si suala la kuliamini au la!, ndio utaratibu wa separation of power unavyotakiwa kikatiba sio kichama.Kwani wanasiasa sio sehemu ya watanzania? wanasiasa nao ni sehemu ya watanzania, na ndio maana serikali ikiingia madarakani husema itatutumikia wote bila kujali vyama vyetu.
Unaliamini bunge ambalo wabunge wake mostly wanaishi Dsm, huko majimboni huenda wakijisikia!.
Haya tena, hiyo serikali inatekeleza ilani ya chama gani?
Nani msimamizi wa utekelezaji wa ilani ya hicho chama?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nani kasema hivyo unavyodai?Sijibu assumption.Kwa hiyo ikiharibika tena wamsubiri Makonda apite awasaidie?
Ungejibu hayo maswali tungeenda vizuri zaidi.Nimelizungumzia jukwaa alilotumia bwana bashite kuwapa maagizo huku akijua mamlaka za kufanya hivyo zipo
Simply put, kama wabunge wangekuwa wanafanya majukumu yao ipasavyo, Makonda asingekutana na hizo kero huko mikoani.Mbunge mbinafsi haisimamii serikali bali kuwakilisha wananchi bungeni. Kuna bunge kama chombo kupitia kamati zake ndio zinaisimamia serikali. Si suala la kuliamini au la!, ndio utaratibu wa separation of power unavyotakiwa kikatiba sio kichama.
Kuhusu kutekeleza ilani ni suala la kichama sio kikatiba. Au huko vituo vya polisi kuna ilani ya ccm ambayo kila polisi anatakiwa kuisoma na kuifuata na sio muongozo wa wao wa kazi, pgo?
Kama separation of power iko kwenye makaratasi na huku ilani ya ya ccm ikisema chama kitaendelea kuhakikisha kuwepo kwa utawala wa sheria na demokrasia ni uthibitisho kwamba chama hicho ni chama kilichoshindwa.Simply put, kama wabunge wangekuwa wanafanya majukumu yao ipasavyo, Makonda asingekutana na hizo kero huko mikoani.
Hiyo pekee inatosha kukuonesha habari ya separation of power kwa nchi yetu ipo kwenye makaratasi tu, hakuna uhalisia.
Makonda kufanya alichofanya kwangu hakina tatizo, hili nitalisema mara zote, kwasababu kama nongwa ni Makonda kumpigia simu RPC, basi na Heche nae afanye hivyo, hajazuiwa na yeyote.
Heche hajazuiwa na sheria yoyote kufanya kile anachofanya Makonda, sioni sababu ya kulalamika, Makonda anaongea na RPC kama mtanzania mwanachama wa CCM, na Heche nae aongee na RPC kama mtanzania mwanachama wa Chadema, hiyo ndio maana ya kuitwa mfanyakazi wa umma.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
- Suala la CCM kushindwa sipingani nalo.Kama separation of power iko kwenye makaratasi na huku ilani ya ya ccm ikisema chama kitaendelea kuhakikisha kuwepo kwa utawala wa sheria na demokrasia ni uthibitisho kwamba chama hicho ni chama kilichoshindwa.
Kero za wananchi zinajulikana na ccm hawataki kuzizungumzia kabisa kwa sababu wananufaika kupitia matatizo ya wananchi. Hao wanaohudhuria mikutano hiyo ni wajinga waliopangawa kupumbaza wajinga wenzao.
Kama umekubali kuwa ccm ni chama kilichoshindwa na ujinga ni hali ya kutokujua, basi ni sahihi kusema wanaohudhuria mikutano hiyo kwa kuamini kutatuliwa shida zao ni wajinga kwa sababu kama wangekuwa una ufahamu kuwa ccm ni chama kilichoshindwa kama ulikubali wasingefika kwenye mikutano hiyo.- Suala la CCM kushindwa sipingani nalo.
- Suala la kusema wananchi wanaojitokeza kwenye mikutano ya Makonda ni wajinga, hapo ume panic, wacha dharau zako, na kusema wamepangwa kufanya maigizo hapo panahitajika ushahidi, na sio maneno matupu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kutatua kero moja au mbili sio sawa na kuiweka kwenye mizania ya kushindwa, hapo inategemea na perspective yako, neno kushindwa ni general sana.Kama umekubali kuwa ccm ni chama kilichoshindwa na ujinga ni hali ya kutokujua, basi ni sahihi kusema wanaohudhuria mikutano hiyo kwa kuamini kutatuliwa shida zao ni wajinga kwa sababu kama wangekuwa una ufahamu kuwa ccm ni chama kilichoshindwa kama ulikubali wasingefika kwenye mikutano hiyo.
Wengine wanavuka mipaka bila kujua.Mnatuita wapiga kura na kero zetu wajinga halafu mwaka huu 2024 na 2025 mtakuja kutaka ridhaa zetu katika chaguzi mbalimbali.
Huwezi kupanda mbigiri ukavuna mahindi.Tunawangoja kwa hamu.
Huko ndio kushindwa kwenyewe. Kwa idadi ya wananchi na utajiri wa nchi vitu kama maji, umeme, barabara mbovu, huduma mbovu za afya, ukosevu wa madawati, madarasa na vifaa vya kujifunzia, ajira na hata rushwa havikupaswa kuwa ajenda endelevu.Kutatua kero moja au mbili sio sawa na kuiweka kwenye mizania ya kushindwa, hapo inategemea na perspective yako, neno kushindwa ni general sana.
Mfano, hapa kuna kero ya maji, pale hakuna, hapa kuna uhaba wa madawati, pale hakuna, kwa hali hiyo huwezi kusema wameshindwa wapo watakaokushangaa.
Ukisema wameshindwa inategemea unaangalia kwa angle ipi, angle niliyoizungumzia mimi ni maslahi mapana kama ukosefu wa ajira kwa vijana, kupambana na rushwa na ufisadi, na mengine ya sampuli hiyo.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kuna kushindwa na kushindwa kabisa, kwangu wameshindwa kabisa kwenye hizo issue nikizokutajia hapo juu kama ajira kwa vijana, naona kwako wameshindwa kabisa hata kwa kutoa maji safi na salama hapa na pale.Huko ndio kushindwa kwenyewe. Kwa idadi ya wananchi na utajiri wa nchi vitu kama maji, umeme, barabara mbovu, huduma mbovu za afya, ukosevu wa madawati, madarasa na vifaa vya kujifunzia, ajira na hata rushwa havikupaswa kuwa ajenda endelevu.
Acha kudanganya, Bashite hana huo uwezo. Anachokifanya Bashite ni usaanii tu wa kutafuta umaalafu. Hakuna mtu hata mmoja aliolipwa kwa oda ya BashiteKwa hiyo Makonda ndio aliharibu mota?Wananchi wengi waliokuwa wakidai madeni katika halmashauri mbalimbali wamelipwa madeni waliyokuwa wakidai baada ya ziara ya Makonda.
Pia hayo madeni yalitengenezwa?Wacha kuhamisha magoli ulitaka kujua waliotatatuliwa kero zao unakuja na hoja nyingine
Hizi ziara zinawatia watu fulani hofu sijui wanahofia nini na kero zinasikilizwa na kutatuliwa isipokuwa zilizopo mahakamani!
Unajua hata unachoandika.Makonda anaelekeza na maelekezo yake yanafanyiwa kazi na wahusika wanatatuliwa kero zao.Acha kudanganya, Bashite hana huo uwezo. Anachokifanya Bashite ni usaanii tu wa kutafuta umaalafu. Hakuna mtu hata aliolipwa kwa oda ya Bashite
Bashite anachofanya eti anasikiliza matatizo na baada ya hapo anatoa oda kwa wakurugenzi au ofisi usika wakae na kutatua hilo tatizo. Cha kujiuliza kwanini mambo hayo anayafanya public wakati huwezo wa kjnaliza matatizo hayo hana?