Simply put, kama wabunge wangekuwa wanafanya majukumu yao ipasavyo, Makonda asingekutana na hizo kero huko mikoani.
Hiyo pekee inatosha kukuonesha habari ya separation of power kwa nchi yetu ipo kwenye makaratasi tu, hakuna uhalisia.
Makonda kufanya alichofanya kwangu hakina tatizo, hili nitalisema mara zote, kwasababu kama nongwa ni Makonda kumpigia simu RPC, basi na Heche nae afanye hivyo, hajazuiwa na yeyote.
Heche hajazuiwa na sheria yoyote kufanya kile anachofanya Makonda, sioni sababu ya kulalamika, Makonda anaongea na RPC kama mtanzania mwanachama wa CCM, na Heche nae aongee na RPC kama mtanzania mwanachama wa Chadema, hiyo ndio maana ya kuitwa mfanyakazi wa umma.
Sent from my SM-G900H using
JamiiForums mobile app