Katibu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2025
- 489
- 119
Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Asalam aleykum,kwa waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa,hii ni sababu tangu bwana Wegesa au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu kwa taaluma aliungaunga kutoka Bunda Tc na kujiunga chuo kikuu Saut akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira akapangwa kituoni,yeye akafika kwa mkurugenzi na kutaka apangwe mjini kisa awe anaangalia mechi za arsenal,kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche mdogo wangu wewe,acha ujinga na utulie kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Tangu uzoee kuwa unachomwachomwa hatusemi,unafikiri kila mtu kama wewe?Sindano itakuwa imekuingia sawa sawa siyo kwa kupayuka huku.
Kuunga unga ndo nini ?Asalam aleykum,kwa waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa,hii ni sababu tangu bwana Wegesa au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu kwa taaluma aliungaunga kutoka Bunda Tc na kujiunga chuo kikuu Saut akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira akapangwa kituoni,yeye akafika kwa mkurugenzi na kutaka apangwe mjini kisa awe anaangalia mechi za arsenal,kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche mdogo wangu wewe,acha ujinga na utulie kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Kwa tz tunaona mtu asiepita f6 kuwa kaungaungaKuunga unga ndo nini ?
Umesoma CV ya Mama?Kwa tz tunaona mtu asiepita f6 kuwa kaungaunga
Ndio,kwa maana hii pia kaungaungaUmesoma CV ya Mama?
Wauaji wa watu, watumiaji pesa vibaya na madaraka waminyaji wa democracy na sheria imegeuka tu kama simba kibogoyo utafikiri majaji na mahakimu hawajasoma wamepewa tu kadi za kijani wakaingia mahakamani ndio wako sawa?Ila za mwizi wa magari Lema ndio ziko sawa.
Nyie nyumbu mna vituko,
Weka CV ya kizimkazi tuoneNyie nyumbu mna vituko,
Mbona haujibu ya elimu ya hangaya wenu?Sijasahau bwana JokaKuu a.k.a Boniyai ndio maana nimekubali
Wewe acha ujinga,siuitafute.au unataka ukopi sample unatafuta ajiraWeka CV ya kizimkazi tuone
Dogo sasa nijibu nini wakati ni kweli Rais Samia hajapita Fm6Mbona haujibu ya elimu ya hangaya wenu?
Kumtukana mtu kwa historia yake ya kazi au mapenzi yake ya mpira si hoja ya msingi. Tujadili hoja na si watu binafsi. Heche ana haki ya kuwa na mtazamo wa kisiasa kama wengine.Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Samia aliambulia Div IV O Level leo hii mnampigia magoti mbona husemi.Asalam aleykum, kwa Waislam wenzangu.
Ninaandika haya kwa masikitiko makubwa, hii ni sababu tangu Bwana Wegesa, au maarufu kwenye siasa zake uchwara akiitwa Heche.
Mtu huyu, kwa taaluma, aliungaunga kutoka Bunda TC na kujiunga Chuo Kikuu SAUT, akapata shahada ya ualimu.
Alibahatika kupata ajira, akapangwa kituoni. Yeye akafika kwa Mkurugenzi na kutaka apangwe mjini, kisa awe anaangalia mechi za Arsenal. Kuanzia hapo nilimshangaa mtu yule kwa uwezo mdogo.
Acha aendelee kumtumikia Lissu na wenzake kuliko kuwa mwalimu, sababu angetuharibia watoto wetu kwa uvutaji bangi na ubishi wa hovyo.
Heche, mdogo wangu wewe, acha ujinga na utulie. Kupayuka hovyo kuna majuto mbele.
Uko sawa,lakini Asiwe janjajanjaKumtukana mtu kwa historia yake ya kazi au mapenzi yake ya mpira si hoja ya msingi. Tujadili hoja na si watu binafsi. Heche ana haki ya kuwa na mtazamo wa kisiasa kama wengine.
Katibu Mkuu chawa karibia na kunguni aione kwenye jaladaSamia aliambulia Div IV O Level leo hii mnampigia magoti mbona husemi.
Okay basi hii pia ni nchi ya kuunga ungaNdio,kwa maana hii pia kaungaunga