John Heche: Mwalimu anayestahili kuwa nje ya Ualimu

Unashanga jamaa kukimbia ualimu ,hushangai Mama alivokwepa kuchukua form,, hushangai jinsi democracy ilivyominywa ndani ya chama,,
 
Mods kama mpo huu uzi una shida kuanzia kwenye introduction. Labda mpeleke kwenye jukwaa la dini!
 
Mimi ni mtendaji wa wizara,nimepanda cheo sababu ya kuitumikia vema nchi yangu
Ndio maana nchi yetu haisongi mbele sababu ya watu kama wewe. Mtendaji wa wizara unapata wapi muda wa kuja kuandika mambo ya ndani ya Heche?, utafikiri unalala naye kitanda kimoja. Huo muda si ungeutumia kuisaidia wizara isonge mbele?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…