PreGE2025 John Heche: Polisi waliotukamata wamezunguka na sisi kwenye magari yao kisha kututelekeza barabarani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mzee kkoo ni pazuri zaidi kwani ndipo kodi hukusanywa na haifiki Hazina kwa mjibu wa CAG kkoo wanazo kero na changamoto nyingi sana acha na wao wapate pa kusemea
 
CCM wamewahi kufanya hapo hapo + polisi walisharidhia na kukataa kwenye last minutes!

Hadi hapo wasema je ndugu mjumbe?
Asante kwa🔧🔧🔧 👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Mbona CCM Huwa wanafanya Mikutano Yao Kariakoo hapo....!?
 
CCM wamewahi kufanya hapo hapo + polisi walisharidhia na kukataa kwenye last minutes!

Hadi hapo wasema je ndugu mjumbe?
Ccm haina watu, kasehemu kadogo kanawatosha na usikute wamefanya makusudi ili ionekane wana nyomi.

Ccm inaogopa kufanya mikutano kwenye viwanja vya mpira ni hasara kwao maana inabidi itowe pesa kwa makatibu kata mkoa mzima za kukodi coaster za kusomba misukule yao kuipeleka kwenye mkutano na kuirudisha na angalau soda kwa kila mtu.

Wanapata hasara sana kuandaa mikutano ya hadhara.
 
Mbona wakuu wa mikowa wanafanya mikutano ya kijinga hamsemi wanasababisha bugudha . Lazima ifike mahali kile cc wanafanya na wananchi wanafanya hivyo hivyo. Serikali ispo fuwata sheria wananchi nao wanahaki ya kutoheshimu sheria. Hauwezi kuwa na nchi yenye sheria za kumiza watawaliwq na kulinda watawala. Inatakiwa iheshimiwe na kila mtu kuanzia raisi kuja mpaka kwa mokota makopo.
 
anatoa harufu ya bangi na pombe namna ile awekwe ndani kivip gentleman 🐒
Ulivuta nae huko gheto unaposhinda ukila shisha na unga? Polisiccm na wewe ICC mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague inawamulika kila kona endeleeni kuwatesa chadema mtavuna mnachopanda
 
Huko Barabarani Magari ya SU STK yanaongoza kwa kuvunja sheria, madereva wa Serikali hawaheshimu foleni wanatanua hovyo hovyo ccm wanaongoza Nchi kienyeji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…