YAp maendeleo ya hii nchi sinkipaombele ila dili za wakuuDili za watu
Mukuu uliadimika Sana hapa mtaani ( Jukwaani) kurikoni kamanda wangu?Bora kuzaliwa mende Ulaya
Saudi Arabia si Jangwani? Heche ameongea chumvi hapa🤣🤣Uzuri wa mijadala ya mitaani hakuna kuzimwa na Spika wa CCM na miongozo ya Waziri wa Uratibu wa Bunge
John Heche leo Dodoma amesema:
Tunaongozwa na watu wenye akili za matope
Saudi hawana maji hata ya mto mmoja, wanatuuzia ngano
Ule mavi ya wazungu?🤣🤣Bora kuzaliwa mende Ulaya
Saudi Arabia wanazalisha tani 1.1 millions za ngano. Tanzania tunazalisha tani 120,000. Pamoja na kuwa jangwani wanalima ngano Mara 10 ya Tanzania.Saudi Arabia si Jangwani? Heche ameongea chumvi hapa🤣🤣
Wao matajiriSaudi Arabia wanazalisha tani 1.1 millions za ngano. Tanzania tunazalisha tani 120,000.
Mkuu Saudi arabia ni nchi kubwa mara 2 na zaidi kushinda tanzania, sio kila sehemu katika hiyo nchi ni jangwa wana miradi ya kisasa na wana pesa hasa.Saudi Arabia wanazalisha tani 1.1 millions za ngano. Tanzania tunazalisha tani 120,000. Pamoja na kuwa jangwani wanalima ngano Mara 10 ya Tanzania.
Kwanza sijui kama anajua maana ya nonesensetlatlaa atasema hii ni nonsense