John Heche: Tunaongozwa na watu waliokosa maarifa

Huku sio kuudanganya umma jamani???

Yani unaokota the softest kipande cha speech ya mtu ndio unaripoti kwamba Heche kasema. Mengine mazito zaidi unafunika.

YANI UNATAKA TUBAKI GIZANI KAMA JAMII TUFICHWE WATU WANASEMA NINI, TUBAKI MA IDIOT, UNINFORMED, PRIMITIVES.

Shule gani ya habari imefundisha hivyoooooo ????? Mbona hatuoni DW na BBC wanabadilisha content ya maneno ya kiongozi bila kusema hapa tumefunika mengine ?????? AAYA yaya yaya yaya yaya! I hate this freaking society I was borne in!
 
Kwani wewe si ndiyo mleta mada ?
So umebadilishiwa content au?
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii.

Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.

View attachment 3649569
Heche huwa anajiona ana akili hahaha hata ukimsikiliza hana la maana kabisa

USSR
 
Mkuu Saudi arabia ni nchi kubwa mara 2 na zaidi kushinda tanzania, sio kila sehemu katika hiyo nchi ni jangwa wana miradi ya kisasa na wana pesa hasa.
Point no ipi mkuu? Ishu apa ni kwanini tu import chakula wakat tunauwezo wakuzalisha hapa haijalishi hiyo ngano imetoka russia au uarabuni
 
Kwani wewe si ndiyo mleta mada ?
So umebadilishiwa content au?
Hapana, sio mada niliyoileta mimi.

Mimi niliandika:

HECHE KASEMA TUNANUNUA NGANO KUTOKA SAUDIA. WAKATI SAUDI HAWANA HATA MTO MMOJA. HIZO SIO AKILI, INI MATOPE.

NA KABLA YA HAPO ALISEMA HAWA VIONGOZI NI VICHAA. NA AKASEMA SAMIA FAHAMU HII NCHI SIO YA KUFAIDIKA WEWE NA ABDULI!

Moderator kafuta! Kabandika maneno anayotaka yeye yaende kwenye jamii!

Sasa ndugu yanguuu...

Kuna ubaya gani jamii ikijua kwamba tunakula ngano kutoka kwenye nchi ya jangwa ???

Moderator wa JF kaenda katafuta ki clip the softest rhetoric, maneno malaini laini ya Heche ndo kanibandikia hapo!

KWA NINI UFUNIKE MANENO YA MPINZANI KWA UMMA KWAMBA TUNAKULA NGANO YA NCHI AMBAYL HAINA MTO WA MAJI HATA MMOJA ???

WAANDISHI WA JF WANA AKILI ZA MATOPE, KAMA AMBAVYO VIONGOZI WANAOAGIZA NGANO SAUDIA WANA AKILI ZA MATOPE!
 
Saudi Arabia wanazalisha tani 1.1 millions za ngano. Tanzania tunazalisha tani 120,000. Pamoja na kuwa jangwani wanalima ngano Mara 10 ya Tanzania.

Nimebahatika kutembelea nchi zote za GCC sikuona shida ya maji licha ya kuwa wako jangwangi wana desalination plants , ukichunguza gharama ya mtambo mmoja wa desalination sio pesa ya kutisha kama gari , misafara na posho wanazotumia mafisadi ya CCM.

Dar es Salaama haikutakiwa kuwa na tatizo la maji hata kwa sekunde maji yalitakiwa kuflow kwenye mabomba 24/7 .

Ajabu kipaumbele chao kikubwa ni kuiba kura na kuua kila anayewakosoa.
 
Hapana, sio mada niliyoileta mimi.

Mimi niliandika:

HECHE KASEMA TUNANUNUA NGANO KUTOKA SAUDIA. WAKATI SAUDI HAWANA HATA MTO MMOJA. HIZO SIO AKILI, INI MATOPE.

NA KABLA YA HAPO ALISEMA HAWA VIONGOZI NI VICHAA. NA AKASEMA SAMIA FAHAMU HII NCHI SIO YA KUFAIDIKA WEWE NA ABDULI!

Moderator kafuta! Kabandika maneno anayotaka yeye yaende kwenye jamii!

Sasa ndugu yanguuu...

Kuna ubaya gani jamii ikijua kwamba tunakula ngano kutoka kwenye nchi ya jangwa ???

Moderator wa JF kaenda katafuta ki clip the softest rhetoric, maneno malaini laini ya Heche ndo kanibandikia hapo!

KWA NINI UFUNIKE MANENO YA MPINZANI KWA UMMA KWAMBA TUNAKULA NGANO YA NCHI AMBAYL HAINA MTO WA MAJI HATA MMOJA ???

WAANDISHI WA JF WANA AKILI ZA MATOPE, KAMA AMBAVYO VIONGOZI WANAOAGIZA NGANO SAUDIA WANA AKILI ZA MATOPE!
Heh hiyo clip iliwekwa na moderator 🤔
 
Point no ipi mkuu? Ishu apa ni kwanini tu import chakula wakat tunauwezo wakuzalisha hapa haijalishi hiyo ngano imetoka russia au uarabuni
Nilikusudia wao wameshapiga hatua mkuu na si vyema kujiona wanyonge sana ni kweli tuna ardhi, ila ni ukweli kabisa sisi bado ni masikini kabisa, hatuwezi uzalishaji mkubwa kiasi hicho na utayari wa watu wetu ni disaster.
 
Hilo neno umasikini ndio majizi wanalitumiaga kutuibia hivi unajua wajinga huwa wanahujumu mashamba ya miwa na viwanda vya sukaro ili wa import sukari ya brazili muulize msomqli wa nzega na mgombeq urais wa ACT wanajuana vizuri
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Serikali ya CCM inaongozwa na watu waliokosa maarifa badala yake wamebaki kutishia wapinzani na kufungua mitandao ya kijamii.

Ameyasema hayo Agosti 12 katika maadhimisho ya vijana kimataifa yaliyofanywa na chama hicho jijini Dodoma.

View attachment 3649569
 
Attachments

  • ae6a05f1fa2de9658c4b6064cb00f395_1786648526400.mp4
    8.9 MB
Hapana, sio mada niliyoileta mimi.

Mimi niliandika:

HECHE KASEMA TUNANUNUA NGANO KUTOKA SAUDIA. WAKATI SAUDI HAWANA HATA MTO MMOJA. HIZO SIO AKILI, INI MATOPE.

NA KABLA YA HAPO ALISEMA HAWA VIONGOZI NI VICHAA. NA AKASEMA SAMIA FAHAMU HII NCHI SIO YA KUFAIDIKA WEWE NA ABDULI!

Moderator kafuta! Kabandika maneno anayotaka yeye yaende kwenye jamii!

Sasa ndugu yanguuu...

Kuna ubaya gani jamii ikijua kwamba tunakula ngano kutoka kwenye nchi ya jangwa ???

Moderator wa JF kaenda katafuta ki clip the softest rhetoric, maneno malaini laini ya Heche ndo kanibandikia hapo!

KWA NINI UFUNIKE MANENO YA MPINZANI KWA UMMA KWAMBA TUNAKULA NGANO YA NCHI AMBAYL HAINA MTO WA MAJI HATA MMOJA ???

WAANDISHI WA JF WANA AKILI ZA MATOPE, KAMA AMBAVYO VIONGOZI WANAOAGIZA NGANO SAUDIA WANA AKILI ZA MATOPE!
Uliscreenshot vyema kichwa cha uzi wako kabla ya kuachia hewani?
Kama unayosema ni kweli, hili ni tatizo jipya kuweni makini.

#Hallelujah!!!
 
Back
Top Bottom