Kuna clip inazunguka Dkt. Wilbrod Slaa akitngaza kuwa Chadema ni watesaji, wanatesa watu na Lissu ndio walimpiga risasi. Hii ni jinai, msikalie kimya mpelekeni Mahakamai athibishe anayo yasema.
Kila mtanzania atalipokea kivyake, wengine wataamini hivyo, hivyo siyo la kunyamazia. Ingelikuwa maneno ambayo hayahusishi jinai, ningelishauri kumpuuza.
Hili la Jinai msilikalie kimya!
Erythrocyte Mwanahabari Huru