Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ccm mauajiMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada ya miezi mitatu.
"Nimeongea na familia yake mara kwa mara na amethibitisha kuwa anahitaji check-up ya afya yake kwa sababu hiyo ilikuwa ni utaratibu wa kila baada ya miezi mitatu anakwenda kufanyiwa check-up na kuhakikisha kwamba afya yake inaendelea kuwa imara. Sasa ni miezi 12, kwa maana hiyo amevuka check-up nne ambazo alipaswa kufanya katika kipindi cha mwaka mmoja ambao anashikiliwa kwa kesi ya uongo."
Heche ameendelea kueleza kuwa Lissu amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kukubali masharti fulani ili aachiwe huru, lakini ameyakataa katakata.
"Lissu, pamoja na kupita magumu yote haya, amekataa kuwapigia magoti hawa wadhalimu... wamejaribu kuweka masharti ambayo sisi tumeyakataa. Mojawapo ya masharti hayo ni kwamba Lissu akubali kuachiliwa lakini aache kufanya siasa ndani ya nchi, aache kuwatetea Watanzania, aondoke akakae nje ya nchi. Lissu amekataa."
AiseeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada ya miezi mitatu.
"Nimeongea na familia yake mara kwa mara na amethibitisha kuwa anahitaji check-up ya afya yake kwa sababu hiyo ilikuwa ni utaratibu wa kila baada ya miezi mitatu anakwenda kufanyiwa check-up na kuhakikisha kwamba afya yake inaendelea kuwa imara. Sasa ni miezi 12, kwa maana hiyo amevuka check-up nne ambazo alipaswa kufanya katika kipindi cha mwaka mmoja ambao anashikiliwa kwa kesi ya uongo."
Heche ameendelea kueleza kuwa Lissu amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kukubali masharti fulani ili aachiwe huru, lakini ameyakataa katakata.
"Lissu, pamoja na kupita magumu yote haya, amekataa kuwapigia magoti hawa wadhalimu... wamejaribu kuweka masharti ambayo sisi tumeyakataa. Mojawapo ya masharti hayo ni kwamba Lissu akubali kuachiliwa lakini aache kufanya siasa ndani ya nchi, aache kuwatetea Watanzania, aondoke akakae nje ya nchi. Lissu amekataa."
We! Hawathubutu hata kufikiria hilo kwani ni sawa na kutupa njiti inayowaka kwenye gesi inayosambaa!HAWA WADHALIMU C WANAWEZA KUMWUA
Hapa kuna contradiction kubwa sana, waswahili wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Heche hana kumbukumbu.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada ya miezi mitatu.
"Nimeongea na familia yake mara kwa mara na amethibitisha kuwa anahitaji check-up ya afya yake kwa sababu hiyo ilikuwa ni utaratibu wa kila baada ya miezi mitatu anakwenda kufanyiwa check-up na kuhakikisha kwamba afya yake inaendelea kuwa imara. Sasa ni miezi 12, kwa maana hiyo amevuka check-up nne ambazo alipaswa kufanya katika kipindi cha mwaka mmoja ambao anashikiliwa kwa kesi ya uongo."
Heche ameendelea kueleza kuwa Lissu amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kukubali masharti fulani ili aachiwe huru, lakini ameyakataa katakata.
"Lissu, pamoja na kupita magumu yote haya, amekataa kuwapigia magoti hawa wadhalimu... wamejaribu kuweka masharti ambayo sisi tumeyakataa. Mojawapo ya masharti hayo ni kwamba Lissu akubali kuachiliwa lakini aache kufanya siasa ndani ya nchi, aache kuwatetea Watanzania, aondoke akakae nje ya nchi. Lissu amekataa."
Tundu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa namna yeyote, iwe ya mapinduzi au ya demokrasia. Watu wa sampuli yake huisha kama Mtikila, Lowassa, Seif Sharrif Hamad, Luatonga Mrema.Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda huyu kiumbe ili ifikapo 2030 aweze kutukomboa Watanganyika tuliolala fofofo, kutoka mikononi mwa hawa wahuni.
Mkuu mbona hujaonekana kwenye JF toka 2023? Au una akaunti 2?Serikali inaendelea kumshikilia Lissu lakini naamini hata wao wanaona wanachomfanyia sio sawa, na pressure toka kwa international community pia inazidi kuifanya serikali isiwe na unafuu wowote kuendelea kumshikilia Lissu.
Kuendelea kumshikilia Lissu ni jambo linalotafuna pande zote, kwa Lissu binafsi kiafya, lakini hata kwa serikali pia kwenye mahusiano yake na jumuia ya kimataifa.
Hatuwezi kutawaliwa na mtu aliyekufa zamaniWe! Hawathubutu hata kufikiria hilo kwani ni sawa na kutupa njiti inayowaka kwenye gesi inayosambaa!
Ogopa sana kumuua mtu aliyekwisha kufa siku nyingi na mbingu zikamrejesha kwenye mapambano duniani.
Ccm wana roho mbaya sanaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada ya miezi mitatu.
"Nimeongea na familia yake mara kwa mara na amethibitisha kuwa anahitaji check-up ya afya yake kwa sababu hiyo ilikuwa ni utaratibu wa kila baada ya miezi mitatu anakwenda kufanyiwa check-up na kuhakikisha kwamba afya yake inaendelea kuwa imara. Sasa ni miezi 12, kwa maana hiyo amevuka check-up nne ambazo alipaswa kufanya katika kipindi cha mwaka mmoja ambao anashikiliwa kwa kesi ya uongo."
Heche ameendelea kueleza kuwa Lissu amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kukubali masharti fulani ili aachiwe huru, lakini ameyakataa katakata.
"Lissu, pamoja na kupita magumu yote haya, amekataa kuwapigia magoti hawa wadhalimu... wamejaribu kuweka masharti ambayo sisi tumeyakataa. Mojawapo ya masharti hayo ni kwamba Lissu akubali kuachiliwa lakini aache kufanya siasa ndani ya nchi, aache kuwatetea Watanzania, aondoke akakae nje ya nchi. Lissu amekataa."
Hujawahi kumiliki akili kubwa ya kujadili hoja nzito hata siku moja bali umejaaliwa kumiliki uharo tu kwenye fuvu ulilobeba! Haiyumkini utakuwa na utapiaubongo!Hatuwezi kutawaliwa na mtu aliyekufa zamani
Serikali ya CCM ndio chanzo.Mkuu mbona hujaonekana kwenye JF toka 2023? Au una akaunti 2?
Umeambiwa alitakiwa kufanyiwa check up, sio kupewa tiba mpya. Hizo check up zingethibitisha tu kuwa hali yake si mbaya sana. Lakini inaweza kugeuka wakati wowote kama kuna matatizo ambayo yangegunduliwa wakati wa check up.Hapa kuna contradiction kubwa sana, waswahili wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Heche hana kumbukumbu.
Anasema Lissu hali yake kiafya ni mbaya sana na familia wanathibitisha kuwa anapaswa kufanya checkup kila baada ya miezi 3. Halafu anadai kuwa kuna watu wamemfuata kuwa akubali masharti ili aachiwe, ila Tundu amekataa.
Yawesekana checkup ya miezi 3 ni uwongo kwa vile Tundu sasa anamalizai vipande 4 vya miezi mitatu mitatu bila checkup. Angekuwa mtu wa checkup halafu kakosa 2 tu basi hali yake ingekuwa HOVYO au tete.
Mbona watu wa aina hiyo wako wengi. Mmojawapo ni Rugemarila wa IPTL alikataa plea bargaining ya mchongo na kusema heri aendelee kukaa rumande kuliko kukiri kosa ambalo hakufanya. Mwisho wa siku walimuachia.Pili, hakuna binadamu ana furahi kukaa Rumande hasa kwa mzingira kama aliyopo Tundu. Siamini kwa sasa hivi kama Tundu anaweza kukataa masharti yeyote ya kuwa huru, especially kwa assumption ya kwanza kuwa anaumwa.
Hayo ya bangi yameingiaje?Heche ni MWONGO, hizo ni FIKRA zake mbaya baada ya kuvuta bangi kutoka kwa Walenchoka