PostGE2025 John Heche: Walitufuata na kutupa masharti ili Lissu aachiliwe, tumekataa kuwapigia magoti

PostGE2025 John Heche: Walitufuata na kutupa masharti ili Lissu aachiliwe, tumekataa kuwapigia magoti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hujawahi kumiliki akili kubwa ya kujadili hoja nzito hata siku moja bali umejaaliwa kumiliki uharo tu kwenye fuvu ulilobeba! Haiyumkini utakuwa na utapiaubongo!
Nashauri wadau wenye akili kubwa kukupuuza kwani wewe ni punguani!
Sasa unasema wanipuuze wakati wewe mwenyewe hujanipuuza. Nawewe eti unaniona similiki akili!! Basi wewe hata kichwa huna kabisa
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Umeambiwa alitakiwa kufanyiwa check up, sio kupewa tiba mpya. Hizo check up zingethibitisha tu kuwa hali yake si mbaya sana. Lakini inaweza kugeuka wakati wowote kama kuna matatizo ambayo yangegunduliwa wakati wa check up.

Mbona watu wa aina hiyo wako wengi. Mmojawapo ni Rugemarila wa IPTL alikataa plea bargaining ya mchongo na kusema heri aendelee kukaa rumande kuliko kukiri kosa ambalo hakufanya. Mwisho wa siku walimuachia.
Mandela alipasua mawe kwa miaka 27. Si ajabu kwa mtu anayeamini katika wito wake kukataa kutoka rumande kwa masharti yanayopingana na msimamo wake.
Lissu hafurahii kukaa rumande lakini anakubali kuwa hiyo ni gharama ya msimamo wake na yuko tayari kuilipia. Kitu kilichokuwa wazi ni kuwa iko siku watamuachia au atafia mikononi mwao.

Hayo ya bangi yameingiaje?

Amandla...
Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25
 
Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25
Uonevu ni uonevu. Hata angekaa ndani siku moja tulikuwa na haki ya kulalamika. Hata Mandela watu walikuwa wanamlilia kila siku aliyokaa ndani. Mwekeni Lissu hata miaka 30 lakini wapenda haki wataendelea kuwasema kila siku ya hiyo miaka 30.

Amandla...
 
Kwani CD yake ya Lita Moja kufika hapa kutoka Hormuz kwa tsh 1100 inebuma?!!! Mbona anakuja na nyingine fasta?!! Bwege kweli huyu.
 
Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25
Kwamba miaka 27 ndio SI Unit ya kukaa magereza? Au huko Africa Kusini walikaa Kimya na kuanza kudai Mandela aachiwe huru baada ya kufikisha miaka 27 jela? Ama ni mimi sielewi unaongea ukhanithi gani?
 
Hapa kuna contradiction kubwa sana, waswahili wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Heche hana kumbukumbu.

Anasema Lissu hali yake kiafya ni mbaya sana na familia wanathibitisha kuwa anapaswa kufanya checkup kila baada ya miezi 3. Halafu anadai kuwa kuna watu wamemfuata kuwa akubali masharti ili aachiwe, ila Tundu amekataa.

Yawesekana checkup ya miezi 3 ni uwongo kwa vile Tundu sasa anamalizai vipande 4 vya miezi mitatu mitatu bila checkup. Angekuwa mtu wa checkup halafu kakosa 2 tu basi hali yake ingekuwa HOVYO au tete.

Pili, hakuna binadamu ana furahi kukaa Rumande hasa kwa mzingira kama aliyopo Tundu. Siamini kwa sasa hivi kama Tundu anaweza kukataa masharti yeyote ya kuwa huru, especially kwa assumption ya kwanza kuwa anaumwa.

Heche ni MWONGO, hizo ni FIKRA zake mbaya baada ya kuvuta bangi kutoka kwa Walenchoka
Tulisema humu ukiacha zile kelele nyingi za mitandaoni, hakuna kiongozi wa hovyo na goigoi Kama Heche!!
 
Kwamba Lissu aache kuwatetea watanzania, aende nje? thubutu.
Yeye Samuya ndio aende kwa wajomba zake atuachie nchi
Akutetee wewe unaechezeana nyeti mwenzio akiteseka rumande?
 
Kwamba miaka 27 ndio SI Unit ya kukaa magereza? Au huko Africa Kusini walikaa Kimya na kuanza kudai Mandela aachiwe huru baada ya kufikisha miaka 27 jela? Ama ni mimi sielewi unaongea ukhanithi gani?
Hata wewe umeshindwa kuuawa kwaajili ya Lissu? Kijana wa hovyo sana 🤣
 
Kutupigania watanzania sisi? Mi nadhani Lissu anajitesa tu bure bila sababu ya msingi. Kwa siasa zetu, hulka tuliyonayo watanzania, utawala tulio nao na umri wa Lissu bora angejipigania yeye mwenyewe na familia yake tu.
 
Tundu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa namna yeyote, iwe ya mapinduzi au ya demokrasia. Watu wa sampuli yake huisha kama Mtikila, Lowassa, Seif Sharrif Hamad, Luatonga Mrema.

Kwa hili nawashauri wote wanaotarajia Tundu ataweza kuwa Rais wa Tz watoke ndotoni, haitokuja kutokea
Unaishi kwa kukalili watanzania wa Leo sio wale Lyatonga Mrema na mtikila
 
Back
Top Bottom