NA HII NDIO INASABABISHA RIPOTI YAO UCHWARA YA JAJI CHANDE KUCHELEWA.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na e akakae nje ya nchi. Lissu amekataa."
Sasa unasema wanipuuze wakati wewe mwenyewe hujanipuuza. Nawewe eti unaniona similiki akili!! Basi wewe hata kichwa huna kabisaHujawahi kumiliki akili kubwa ya kujadili hoja nzito hata siku moja bali umejaaliwa kumiliki uharo tu kwenye fuvu ulilobeba! Haiyumkini utakuwa na utapiaubongo!
Nashauri wadau wenye akili kubwa kukupuuza kwani wewe ni punguani!
Ni dhahiri kuwa Samia anamuogopa sana Lissu ndiyo maana ametoa maagizo mahsusi asiachiliwe hadi afe kwa kukosa matibabu. Samia ni shetani katika maumbile ya mwanamke.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na m
Pole sana na karibu tenaSerikali ya CCM ndio chanzo.
Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25Umeambiwa alitakiwa kufanyiwa check up, sio kupewa tiba mpya. Hizo check up zingethibitisha tu kuwa hali yake si mbaya sana. Lakini inaweza kugeuka wakati wowote kama kuna matatizo ambayo yangegunduliwa wakati wa check up.
Mbona watu wa aina hiyo wako wengi. Mmojawapo ni Rugemarila wa IPTL alikataa plea bargaining ya mchongo na kusema heri aendelee kukaa rumande kuliko kukiri kosa ambalo hakufanya. Mwisho wa siku walimuachia.
Mandela alipasua mawe kwa miaka 27. Si ajabu kwa mtu anayeamini katika wito wake kukataa kutoka rumande kwa masharti yanayopingana na msimamo wake.
Lissu hafurahii kukaa rumande lakini anakubali kuwa hiyo ni gharama ya msimamo wake na yuko tayari kuilipia. Kitu kilichokuwa wazi ni kuwa iko siku watamuachia au atafia mikononi mwao.
Hayo ya bangi yameingiaje?
Amandla...
Uonevu ni uonevu. Hata angekaa ndani siku moja tulikuwa na haki ya kulalamika. Hata Mandela watu walikuwa wanamlilia kila siku aliyokaa ndani. Mwekeni Lissu hata miaka 30 lakini wapenda haki wataendelea kuwasema kila siku ya hiyo miaka 30.Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25
Kwamba miaka 27 ndio SI Unit ya kukaa magereza? Au huko Africa Kusini walikaa Kimya na kuanza kudai Mandela aachiwe huru baada ya kufikisha miaka 27 jela? Ama ni mimi sielewi unaongea ukhanithi gani?Sasa mbona Mandela wa kuchonga toka Ikungi kakaa mwaka 1 tu mnalialia kila mahali wakati Nelson Mandela alifikisha miaka 27. Acheni basi japo afikishe robo ya 27 ambayo ni miaka 5.25
Tulisema humu ukiacha zile kelele nyingi za mitandaoni, hakuna kiongozi wa hovyo na goigoi Kama Heche!!Hapa kuna contradiction kubwa sana, waswahili wanasema ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu. Heche hana kumbukumbu.
Anasema Lissu hali yake kiafya ni mbaya sana na familia wanathibitisha kuwa anapaswa kufanya checkup kila baada ya miezi 3. Halafu anadai kuwa kuna watu wamemfuata kuwa akubali masharti ili aachiwe, ila Tundu amekataa.
Yawesekana checkup ya miezi 3 ni uwongo kwa vile Tundu sasa anamalizai vipande 4 vya miezi mitatu mitatu bila checkup. Angekuwa mtu wa checkup halafu kakosa 2 tu basi hali yake ingekuwa HOVYO au tete.
Pili, hakuna binadamu ana furahi kukaa Rumande hasa kwa mzingira kama aliyopo Tundu. Siamini kwa sasa hivi kama Tundu anaweza kukataa masharti yeyote ya kuwa huru, especially kwa assumption ya kwanza kuwa anaumwa.
Heche ni MWONGO, hizo ni FIKRA zake mbaya baada ya kuvuta bangi kutoka kwa Walenchoka
Akutetee wewe unaechezeana nyeti mwenzio akiteseka rumande?Kwamba Lissu aache kuwatetea watanzania, aende nje? thubutu.
Yeye Samuya ndio aende kwa wajomba zake atuachie nchi
Hata wewe umeshindwa kuuawa kwaajili ya Lissu? Kijana wa hovyo sana 🤣Kwamba miaka 27 ndio SI Unit ya kukaa magereza? Au huko Africa Kusini walikaa Kimya na kuanza kudai Mandela aachiwe huru baada ya kufikisha miaka 27 jela? Ama ni mimi sielewi unaongea ukhanithi gani?
Toka mumeo Sultan Mbowe alambishwe sakafu pale Mlimani City umekuwa mchungu sana na viongoźi wa Chadema. Nyie endeleeni tu kutafuta mafekechee mumeo.Tulisema humu ukiacha zile kelele nyingi za mitandaoni, hakuna kiongozi wa hovyo na goigoi Kama Heche!!
Unaishi kwa kukalili watanzania wa Leo sio wale Lyatonga Mrema na mtikilaTundu hawezi kuwa Rais wa Tanzania kwa namna yeyote, iwe ya mapinduzi au ya demokrasia. Watu wa sampuli yake huisha kama Mtikila, Lowassa, Seif Sharrif Hamad, Luatonga Mrema.
Kwa hili nawashauri wote wanaotarajia Tundu ataweza kuwa Rais wa Tz watoke ndotoni, haitokuja kutokea
Wewe ni mavi ya nchimbiKitengo chenu cha propaganda hakifanyi kazi
"eti walisema aache kuwatetea watanzania"
Yaani huyu anatakiwa ashikwe bega nyeti ziende ndani
Eti aache siasa
Yaan heche anaongea uharo mtu
Takataka