PostGE2025 John Heche: Walitufuata na kutupa masharti ili Lissu aachiliwe, tumekataa kuwapigia magoti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unajua maana ya checkup.
 
Whether ni uhaini au siyo uhaini tutajuwa siku ya hukumu.
Don't be stupid

Kwani wewe huna hata akili ya kawaida tu, yaani (common sense) ya kuiona na kuitambua HAKI?

Wakati mwingine kunyamaza ni busara na hekima zaidi kuliko kuandika au kutetea ujinga na upumbavu wa watawala!

Kumbuka: Tanzania tuna "watawala" na sio "viongozi"

Viongozi huwekwa na watu (citizens) kwa ridhaa yao kupitia njia ya uchaguzi huru, wa haki na wa Wazi ili kuongoza. Watawala hujipachika wenyewe katikati ya wananchi kwa mtutu wa bunduki au kupitia manipulated and rigged elections

Samia muuaji na wenzake ni watawala, wamechukua mamlaka toka kwa umma kwa nguvu ya mtutu wa bunduki. Waliua maelfu ya ndugu zetu 29/10 - 4/12/2025 na kujitangaza washindi wa uchaguzi ambao haukuwepo!!
 
!

👉👉Mimi nilidhani utakuwa na akili ya kumtaka aende mbele zaidi awataje na watu wa Samia waliowafuata kuwapelekea hilo deal 🤝 lakini cha ajabu umeamua kubisha kijuha na kilevi tu
Wewe badili jina jiite "Ufu Tele" au "Msukule". Principle ya sheria inasema "who alleges must prove"

Sikutegemea uandike utumbo huo kuwa eti mimi "nimtake awataje watu wa Samia waliowafuata.."

Hiyo ni kazi ya Heche na Tundu ndiyo wanapaswa kuwataja hao. Nchi hii haiwezi kuwaanini tena WAROPOKAJI wa CHADEMA, wamekisambaratisha chama kwa kauli zao za hovyo
 
Nincompoop!! Don't dare insult me because of your frustrations.

Let Tundu suffer consequences of his foolish utterances, he is an unguided missile and this time it boomeranged heavily against himself.
 
Nincompoop!! Don't dare insult me because of your frustrations.

Let Tundu suffer consequences of his foolish utterances, he is an unguided missile and this time it boomeranged heavily against himself.
It's you who is foolish..

Tundu Lissu has not committed any crime to deserve any punishment

His crime, may be is to refuse to worship the wicked and evil idolatry of the rulers..
 
It's you who is foolish..

Tundu Lissu has not committed any crime to deserve any punishment

His crime, may be is to refuse to worship the wicked and evil idolatry of the rulers..
Your blind worship of a traitor exposes your own stupidity. Treason is a crime, whether you grasp the law or not. Lissu isn’t a hero, he’s a reckless fool who chose to defy the state, and now he faces the consequences. Spare us your melodrama about “idolatry”; your sentimental drivel doesn’t rewrite the penal code.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…