mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Tatizo akitoka kusema ivyo mwenyekit ataweka wap sura yake ataambia Nini watu
Hata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.