Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

Nafasi ya kuwa General Secretary wa main opposition party kama chadema tena ukataka kuwa Member of Parliament zinakuwa ni tamaa nadhani Mh, Mnyika yuko sahii hata ccm sijawaiga kumuona kinana anautafuta ubunge au Bashiru Ally au polepole.

Ni mtu mjinga aliyepoteza future na kutojitambua anaweza kumbeza Mnyika.... Kwani saraly tu ya General secretary wa chadema inamtosha mtu yeyote kula kusomesha nakufanya starehe .
 
Ni heri nusu shari kuliko shari kamili, nani anapenda kuadhirika? kayasoma mazingira akaona aufyate mapema.
 
Uamuzi huu Ni sahihi sana, viongozi Wa vyama walipaswa kutogombea vyeo vya kiserikali
 
Nimeona huyu x-mp akiaga kule Twitter ,ameikimbia hasira ya wana kibamba na ni kweli walimpania amejua amengalia upepo kuwa hakufaa

Aliishi kwa propaganda bungeni kwa miaka kumi jimbo likiwa ubungo na baadae kugawanywa akaja huku kubamba ambapo alijifichaficha kwa miaka yake yote ya mitano sio bungeni wa jimboni

Amejipima ameona hafai tena maana kweli hafai na hakufaa na alijua atapigwa mapema na kupata aibu maana wananchi walimpania kumwonyesha kuwa hawamtaki mbunge mchumia tumbo

USSR
 
Anayefaa ubunge Tz hii ni nani asiye mchumia tumbo ?!.
 
Ongeza nyama habali haijakamilika, au uweke hiyo tweet yake tuone
 
Nimeona huyu x-mp akiaga kule Twitter ,ameikimbia hasira ya wana kibamba na ni kweli walimpania amejua amengalia upepo kuwa hakufaa

Aliishi kwa propaganda bungeni kwa miaka kumi jimbo likiwa ubungo na baadae kugawanywa akaja huku kubamba ambapo alijifichaficha kwa miaka yake yote ya mitano sio bungeni wa jimboni

Amejipima ameona hafai tena maana kweli hafai na hakufaa na alijua atapigwa mapema na kupata aibu maana wananchi walimpania kumwonyesha kuwa hawamtaki mbunge mchumia tumbo

USSR
Wewe inakuuma nini?
 
Nina matumaini, safari hii watakikwaa kisiki.

Naomba usinibane kwa kuleta ushahidi, lakini ni hisia nzito ambayo sijawahi kuwa nayo wakati wowote hadi sasa.

Safari hii watu watakataa kufanya kazi ya kupiga kura halafu atokee mpumbavu mmjoaja avuruge kazi yao hiyo.

Uzuri ni kwamba haitahitaji vurugu, watakaoanza vurugu (wezi wa kura) watadhibitiwa huko huko kituoni kwao kwa usalama wao.

Iliyobaki ni kwa CHADEMA kutoa somo tu lieleweke vizuri na watu watatimiza lengo.

Kwenye hili naomba muda uwe msemaji.
 
Kiukweli mafanikio makubwa ya rais magufuli yatawabeba sana madiwani na wabunge wa ccm
Ccm itashinda kwa kishindo uchaguzi huu
 
Nitafurahi pia kama kwenye ubunge kuwe na ukomo,ukipiga miaka yako 10 inatosha,wachia na wengine.
Hawa si ndo wanahubiri kua vijana wajiajiri inatakiwa kuwe na sheria mtu kua mbunge iwe kipindi kimoja tu baada ya hapo ajiajiri na kuajiri wengine maana tayari amepata mtaji....
 
Back
Top Bottom