Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

Uchaguzi 2020 John John Mnyika kutogombea ubunge mwaka huu 2020

Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
Mnyika anajitambua.......ngoja tumsikie na Mbowe!
 
Watu smart kichwani huweza kusoma nyakati na upepo na baada ya hapo huchukua maamuzi ambayo hayatawatia aibu.

Hongera John Mnyika kwa kusoma nyakati na pepo za October 2020.
 
Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndo ajiandae kurudi CCM.
Alikimbilia Kibamba? Kwani Kibamba haikuwa eneo la Ubungo? Mbona Silinde alienda Momba ilihali ilikua jimbo hilohilo la Tunduma hamkusema kakimbia?

Mnyika toka uchaguzi wa 2014 aliapa kuweka jimbo rehani ili kujikita kwenye chama hata 2015 kura za maoni zilosogezwa mbele Kibamba maana mpaka siku ya mwisho hakuchukua fomu.

Na uchaguzi wa mwaka jana alisema katika vitu vinavyomcost ni kubalance ubunge na ujenzi wa chama kwahiyo lazima tu uachie moja ili uwe na ufanisi zaidi.

Nadhani ni jambo jema kuwa na kofia moja hasa kwa nafasi ya ukatibu ambayo ndio mtendaji mkuu wa chama.
 
Mnyika kweli yupo smart Sana kichwani.
Kachukua maamuzi sahihi Sana baada ya kusoma nyakati na pepo.

Kiukweli upepo wa kijani umetawala Sana kiasi kwamba Kama ukisafiri kwa upepo tofauti inatakiwa usitishe tu safari yako Maana hutafika final destination.
 
Hata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.
 
Furahisha roho yako, lakini Dr Slaa nae alifanya hivyo hivyo baada ya kuteuliwa Katibu Mkuu.
 
Nimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.

Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.

Mungu mbariki John Mnyika.

Maendeleo hayana vyama!
Kasoma alama za nyakati,angeumbuka sana
 
Kazaliwa kipindi cha CCM. Na primary school lazima aliimba "Naapa naahidi mbele ya chama,mapinduzi nitakulinda mpaka kufa "
Mnyika alipewa kadi ya CCM na mzee Malecela wakati akiwa makamu mwenyekiti wa CCM...... Baada ya wiki mbili akakutana na Mbowe akarubunika na kujiunga Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnyika kweli yupo smart Sana kichwani.
Kachukua maamuzi sahihi Sana baada ya kusoma nyakati na pepo.

Kiukweli upepo wa kijani umetawala Sana kiasi kwamba Kama ukisafiri kwa upepo tofauti inatakiwa usitishe tu safari yako Maana hutafika final destination.

Amejiepusha na chaguzi za kishenzi, kihayawani na kikatili za awamu ya tano. Hakuna cha upepo wa kijani kutawala, bali ni madaraka ya urais yanayotumika vibaya kunajisi chaguzi za nchi fullstop.
 
Hata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.
10 Yatosha

Bora akale pensheni yake na familia!
 
Nimeupenda sana msimamo wa bwana mdogo John Mnyika wa kufuata mfano wa Mwalimu Nyerere.

Mnyika ametangaza rasmi kuachana na ubunge ili apate fursa ya kukitumikia chama vizuri zaidi katika nafasi yake ya Katibu mkuu wa Chadema.

Mungu mbariki John Mnyika.

Maendeleo hayana vyama!
Hongera sana Mnyika, kwa nafasi ya ukatibu mkuu unayoishikilia umefanya uamuzi mzuri sana. Ofisi yako ndiyo injini ya chama, kwa hiyo ili utende kazi zako kwa ufanisi mkubwa, inakupasa kuachia nafasi ubunge. Jimbo la Kibamba linakwenda kumkosa kiongozi makini sana.
 
Back
Top Bottom