mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Hata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.
Ucheke? Kwani polepole na bashiru wanagombea majimbo gani? Acha wehu Mkuu.
Tatizo akitoka kusema ivyo mwenyekit ataweka wap sura yake ataambia Nini watu
Tatizo akitoka kusema ivyo mwenyekit ataweka wap sura yake ataambia Nini watu
Naona usha badilisha chama siku hizi vp?Kaogopa kudhalilishwa. Maana angeshindwa vibaya mno. Mnyika hawezi jimbo. Ubungo lilimshinda akakimbilia kimbamba. Sasa Chadema Ruzuku inakwenda kupungua ndio ajiandae kurudi CCM.
Mimi sina chama.Naona usha badilisha chama siku hizi vp?
Bara amejishtukiaHabari kutoka ndani ya chama jimbo la Kibamba zinasema mbunge wa sasa wa Kibamba Mheshimiwa John John Mnyika ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA mpaka muda wa kuchukua fomu unaisha alikuwa hajachukua fomu ya kutetea kiti hicho.
Kama hizi habari ni za kweli je ni nini sababu? Ametosheka au anajipa muda wa kuitumikia nafasi ya katibu mkuu?
====
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema hatogombea ubunge katika uchaguzi ujao ili apate muda zaidi wa kushughulikia masuala ya uongozi wa chama, waweze kupata ushindi. Mnyika amekuwa mbunge kwa vipindi viwili akiwakilisha Jimbo la Ubungo (2010-2015) na Kibamba (2015-2020).
POLITICS: CHADEMA's SG, John Mnyika, has declared that he will not run for any political position, including a Member of Parliament position, in this year's general election.
Mnyika has been a Legislator for the past 10 years, currently is the MP of Kibamba Constituency in Dar.
View attachment 1507190
Hivi mwenyekiti wetu wa maisha,anakuja tena kugombea jimbo la Hai?Hata maoni yetu kwenye rasimu ya Warioba tulisema mwisho wa ubunge iwe miaka 10. Kama kweli Mnyika kaacha kugombea zaidi ya miaka 10 atakuwa amefanya jambo zuri sana. Tena anapaswa kutoka hadharani aseme kuwa yeye ni muumini wa ubunge mwisho miaka 10. Na hasa ukizingatia siasa na chaguzi za kihayawani chini ya awamu hii ya tano, itakuwa vizuri sana kujiepusha na chaguzi za kishenzi.
kule kijani bado tu wapo wasira na kapuyaKwa hiyo hata Lisu naye alikuwa CCM? Hawa akina Mbowe ni magumashi tu.
Magufuli na Nyerere wapi na wapiMnyika na Nyerere wapi na wapi
Mnyika amesoma alama za nyakati,angeshindwa vibaya sana,watu wana hasira nae
Endelea kujifariji kamanda.kule kijani bado tu wapo wasira na kapuya
Hivi mwenyekiti wetu wa maisha,anakuja tena kugombea jimbo la Hai?
Nitafurahi pia kama kwenye ubunge kuwe na ukomo,ukipiga miaka yako 10 inatosha,wachia na wengine.
Acha zako wewe Mtemvu na Kibamba wapi na wapi?Hello Mnyika , naona kimya sioni muwakilishi wa CHADEMA jimbo la Kibamba ,mmeamua kumuachia Mtemvu wa ccm ? Au mnyika unarudi?
Mtemvu mtoto anagombea Kibamba.Mtoto wa Mtemvu. Baba yake ndo yupo Temeke.Wewe nae hata hujui ulichoandika,Mtemvu si anagombea Jimbo la Temeke?
Yupo mtoto wa Mtemvu kashinda kura za maoni Kibamba.Anaitwa Issa Mtemvu.Acha zako wewe Mtemvu na Kibamba wapi na wapi?