John Magufuli maiden official trip to Kenya

Kuchelewa kote ilibidi ku refuel KIA ndio kuunganisha hadi "nusu london"
Ok!
Kwani walivyoondoka JNIA hawakujaza full tank? Au bombadia ina hitilafu kwenye fuel injection?
 
Mida hii hotuba ipo live Citizen.
 

sheebesh and Dr kidero wafurahia ujio wa bulldozer magufuli[emoji2]

Magu kawaunganisha mahasimu hawa wawili nina uhakika alivaa helmet kwa kende! na hii facial gesture ya Mugu inakaa vp?
 
Huyo Joka Kuu

Ni moja ya wanyarwanda wasiompenda Rais Magufuli sababu amerudisha uhusiano na Rwanda

Wala usihangaike naye ana chuki ya moyoni
 
Wakenya wamekuwa disappointed! hahah! Walifikiri wataruhusiwa kuingia Serengeti bure! Bwahahah!
 
mbona kazungumza freshi tu..
Kazungumza freshi ila kachemsha kwenye details. Mfano, kuna sehemu kasema anataka kukuza ukuaji wa uchumi from 7.9% hadi 7.2%. [emoji15].

Nadhani alikuwa na lengo nzuri la kutumia data kuonyesha maendeleo lakini kuchanganya kidogo. Scripted speech ingefaa zaidi.
 
Wewe ndo hujaelewa 7.9% ni quartely growth na 7.2% ni yearly growth! Msikilize vizuri
 
Sasa nimeanza kuelewa kwanini baadhi ya familia zikiwa na watoto wenye ulemavu wa akili uwa wanawafungia ndani wasitoke " bora JPM asiwe anatoka nje ya nchi tufiche aibu yetu "
dah wewe jamaa hufai hata kidogo na hilo ni tusi baya kwa Rais mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…