Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Nipo Nairobi tayari kuwaletea yanayojiri live bila chenga na bila upendeleo au upotoshaji..
Itinerary:
* Visit of Edoville dairy plant in Karen
* Nairobi's Southern bypass inauguration
* Hosted to a retreat at Nairobi's state house by Uhuru
From the horse himself..
Wenu,
Geza bin Ulole
(kwa hisani ya JF)
Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.Wakenya wamekuwa disappointed! hahah! Walifikiri wataruhusiwa kuingia Serengeti bure! Bwahahah!
Wewe hujui chochote. Yani kasema katika robo ya kwanza uchumi unaonekana unakuwa kwa 7.9% lakini overall anataka iwe 7.2% wewe ndio umechemka.Kazungumza freshi ila kachemsha kwenye details. Mfano, kuna sehemu kasema anataka kukuza ukuaji wa uchumi from 7.9% hadi 7.2%. [emoji15].
Nadhani alikuwa na lengo nzuri la kutumia data kuonyesha maendeleo lakini kuchanganya kidogo. Scripted speech ingefaa zaidi.
Hiyo ndio imetoka.Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.
Amefanya ya Zuma?Hiyo ndio imetoka.
Tena angalau ya Zuma. Wewe unategemea Mawaziri wajadiliane!!!!. Inamaana hawajawahi kujadiliana wakati Magufuli anasema wanawasiiana mara kwa mara na UhuruAmefanya ya Zuma?
Kwetu tunaita changa la macho, rais asieweka maslai ya nchi yake mbele huyo hafai kuwa rais. Na Mzee JPM analijuwa hilo.Tena angalau ya Zuma. Wewe unategemea Mawaziri wajadiliane!!!!. Inamaana hawajawahi kujadiliana wakati Magufuli anasema wanawasiiana mara kwa mara na Uhuru
Yaani inatakiwa uwe na jicho la tatu kuelewa.
Magufuli sasa ameanza kutoa international diplomacy. Sisi waswahili tunajuana.Kwetu tunaita changa la macho, rais asieweka maslai ya nchi yake mbele huyo hafai kuwa rais. Na Mzee JPM analijuwa hilo.
Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.
Update ziko wapi sasa?
Wewe hujui chochote. Yani kasema katika robo ya kwanza uchumi unaonekana unakuwa kwa 7.9% lakini overall anataka iwe 7.2% wewe ndio umechemka.
nimefungua nikafunga haraka sana sisikilizag kbsa mie