John Magufuli maiden official trip to Kenya

John Magufuli maiden official trip to Kenya

Nipo Nairobi tayari kuwaletea yanayojiri live bila chenga na bila upendeleo au upotoshaji..

Itinerary:
* Visit of Edoville dairy plant in Karen
* Nairobi's Southern bypass inauguration
* Hosted to a retreat at Nairobi's state house by Uhuru

From the horse himself..

Wenu,

Geza bin Ulole
(kwa hisani ya JF)

Hadi sasa hajafika?

Nauliza sababu sioni updates kwa hii post #1
 
Wakenya wamekuwa disappointed! hahah! Walifikiri wataruhusiwa kuingia Serengeti bure! Bwahahah!
Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.
 
Kazungumza freshi ila kachemsha kwenye details. Mfano, kuna sehemu kasema anataka kukuza ukuaji wa uchumi from 7.9% hadi 7.2%. [emoji15].

Nadhani alikuwa na lengo nzuri la kutumia data kuonyesha maendeleo lakini kuchanganya kidogo. Scripted speech ingefaa zaidi.
Wewe hujui chochote. Yani kasema katika robo ya kwanza uchumi unaonekana unakuwa kwa 7.9% lakini overall anataka iwe 7.2% wewe ndio umechemka.
 
Tena angalau ya Zuma. Wewe unategemea Mawaziri wajadiliane!!!!. Inamaana hawajawahi kujadiliana wakati Magufuli anasema wanawasiiana mara kwa mara na Uhuru

Yaani inatakiwa uwe na jicho la tatu kuelewa.
Kwetu tunaita changa la macho, rais asieweka maslai ya nchi yake mbele huyo hafai kuwa rais. Na Mzee JPM analijuwa hilo.
 
Kwetu tunaita changa la macho, rais asieweka maslai ya nchi yake mbele huyo hafai kuwa rais. Na Mzee JPM analijuwa hilo.
Magufuli sasa ameanza kutoa international diplomacy. Sisi waswahili tunajuana.
 
Siyo kweli. Mawaziri husika ku kutana Dar kabla mwisho wa mwaka kujadiliana utekelezaji wa makubaliano.

Wameiweka sawa marais wote wawili, kuna mengi yamekubaliwa na yataratibishwa baada ya mawaziri kukutana na technical teams. Halafu Magufuli amezungumza kistaarabu sana hadi nimependa.
 
Update ziko wapi sasa?

Ndio tatizo za kuanzisha mada mkiwa na chuki na majungu, sasa badala kutoa updates mnaishia vijembe. Inafaa mods wawe na wanaanzisha wao mada za habari kama hii, ili panakua na utoaji taarifa bila upotoshaji na upendeleo. Inakua ni updates tu na mapicha.
 
Wewe hujui chochote. Yani kasema katika robo ya kwanza uchumi unaonekana unakuwa kwa 7.9% lakini overall anataka iwe 7.2% wewe ndio umechemka.

Basi itakuwa nimemsikia vibaya.
 
Back
Top Bottom