John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri MAGOGONI

Hiki kipupwe twende nacho kwa staha la sivyo Milembe itazidiwa. Mtoto wa miaka 8 anamlindaje Rais?
 
Story za vijiwe vya kahawa
 
Maelezo hayaeleweki kabisa
 
Umemuaribia lakin mkuu ,
 
Pambaf!
Mtu wala haja balehe ati kafanyakazi na Awamu zote 6.
Mkuu usineshe Kuna binti namfaham ,miaka Iyo Kama ya jamaa, tena akisoma shule ya msingi bado alikua anapiga KAZI taasis MOJA hivi, na ilikua akiitajika anaombewa full order ,nchi ngum Sana hii
 
Mkuu usineshe Kuna binti namfaham ,miaka Iyo Kama ya jamaa, tena akisoma shule ya msingi bado alikua anapiga KAZI taasis MOJA hivi, na ilikua akiitajika anaombewa full order ,nchi ngum Sana hii
Naona umetumia sixth sense of organ
 
Hizo awamu 6 zimepatikanaje kwa mtu mwenye umri wa miaka 35?
 
Unatumia kilevi gani? Viroba bado vinapatikana huko kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…