John Mnyika ajibu tuhuma za Tundu Lissu kuhusu rushwa, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

"Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa Katiba, Itifaki na maandili ya Chama na sikutoa tuhuma za jumla jumla"
View attachment 3177933
Pia, Soma:

CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu
Lissu anafuta mahali pa kutokea, kama mjumbe wa vikao vyote vya juu vya chama alishindwaje kuyafikisha kwenye vikao na kujadiliwa?
 
Chadema imeshindwa kutenganisha chama kama independent entity kutoka kwa personality chama sio mtu au kabila kinapashwa kiwe na mfumo wa kujiendesha bila kutegemea mtu yoyote awe maarufu au kiongozi..kwa hill CCM inawazidi mbali CCM uwe nani au nani huwezi kua juu ya chama malengo ya chama kupewa kipaombele hata uweke nani CCM wata sapoti huyu mtu ilimradi wanapata Utawal nguvu Mamlaka ya dola.
Mnyika alipaswa kuna na maelezo mazuri juu ya jambo hili.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

"Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa Katiba, Itifaki na maandili ya Chama na sikutoa tuhuma za jumla jumla"
View attachment 3177933
Pia, Soma:

CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu
Ni wendawazimu kusubiri mtu akatuhumu kwenye vikao ambavyo kwa sehemu kubwa vinalinda huo uozo.
 
Lissu anafuta mahali pa kutokea, kama mjumbe wa vikao vyote vya juu vya chama alishindwaje kuyafikisha kwenye vikao na kujadiliwa?
Ukiona kajitokeza kutuhumu hadharani, ujue mifumo ya maaumuzi huko ndani imefubaa.
 
Yericko Nyerere Nyerere mwanachama mtiifu na kiongozi wa chadema amesema Mbowe ndiye mwenye hela, Mbowe ndiyo sponsor na Mbowe ndiye ana marafiki wanaotoa pesa. Mpk hapa ushajua akaunti inayopokea pesa ni ya nani.
Kuna tofauti. Hela za serikali kama ruzuku hazitakiwi kupitia kwenye akaunti ya mtu binafsi. Kama ni hivyo, swali litakuwa ni kwa nini mlipaji anaingiza pesa katika akaunti binafsi. Aidha, pesa zinazokusanywa na chama hazipaswi kupitia katika akaunti binafsi. Lakini pesa anazotoa Mbowe mwenyewe kuchangia chama ni lazima zitatoka katika akaunti yake. Vile vile pesa anazochangisha yeye binafsi kuna nyingine zitaenda moja kwa moja katika akaunti ya chama na kuna nyingine watoaji watapendelea zaidi kumpa yeye binafsi kuliko chama. Yote haya yana wezekana. Ndio maana KM amesema shutma za jumla hazisaidii. Kama mtoa shutuma anajua kuna pesa zimepita huko nje ya utaratibu atoe detail zake. Zimetoka wapi, kiasi gani na ziliingizwa lini kwenye hiyo akaunti binafsi na ya chama. Nje ya hiyo ni fitna tu.

Amandla...
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amejibu tuhuma za Tundu Lissu, adai tuhuma zenye ushahidi kupelekwe kwenye vikao vya Kikatiba vya Chama

"Ikiwa kuna kiongozi yeyote au mtu yoyote kwa maana ya mwanachama wa CHADEMA anatuhuma dhidi ya yeyote aziwasilishe ili zishughulikiwa kwa mujibu wa Katiba, Itifaki na maandili ya Chama na sikutoa tuhuma za jumla jumla"
View attachment 3177933
Pia, Soma:

CHADEMA hali inazidi kuwa tete. John Mrema asema kama kuna ushahidi wa tuhuma za Rushwa uwasilishwe haraka kwaajili ya hatua za kinidhamu
Huyu muogopa mende hatulie sasa
 
Ikiwa mifumo ya ndani mibovu nani atakayeweza kuleta kesi ya panya kwa panya nani?
 
Hana najibu ya tuhuma hizo iko pale kilinda uozo wa chama, ange jibu tuhuma kwa ushahidi zaidi sio kwa maneno ya kujificha hivo. ....
 
makelele, porojo na mdomo wa waropokaji vimejibiwa kiufasaha sana na bongo kali ya chadema :pedroP:
 
Ni wendawazimu kusubiri mtu akatuhumu kwenye vikao ambavyo kwa sehemu kubwa vinalinda huo uozo.
Lissu alisema kuna kiongozi wa CDM alienda na Abdul nyumbani kwake kujaribu kum convince apokee rushwa. Yule bwana akamwambia yeye na wengine wamevuta na Abdul akamuonyesha orodha ya watu walipokea rushwa. Mimi niliposikia nikajiuliza, huyo mtu anamjua Lissu. Kwa nini asiongee nae kabla hajamleta Abdul ili ajue kama yuko tayari kupokea rushwa? Huyo Mheshimiwa bila shaka anajua kuwa kwa Lissu kuna cctv lakini badala ya kuomba wakutane mahali neutral ameenda mahali atakapokuwa amerekodiwa. Kwa nini Lissu alimuamini Abdul kabla ya kujihakikishie ukweli wa tuhuma hizo? Na kwa nini hakuhisi kuwa ule unawezeka kuwa ni mpango wa kuivuruga Chadema? Lakini akaibeba juu juu na kuishusha kwa wananchi! Imani yangu kwa Lissu ikazidi kupungua.

Amandla...
 
Ikiwa mifumo ya ndani mibovu nani atakayeweza kuleta kesi ya panya kwa panya nani?
anaeona mfumo ya kitaasiasi ni mibovu, si atumie mfumo wake imara sasa, kudeal na hizo kesi ambazo si za panya wala ngendere kuliko kubwekabweka na makelele mengi na mdomo tu:pedroP:
 
Hana najibu ya tuhuma hizo iko pale kilinda uozo wa chama, ange jibu tuhuma kwa ushahidi zaidi sio kwa maneno ya kujificha hivo. ....
Anajibu vipi tuhuma za jumla kama zile? Ilikuwa ni jaribio la kuchafuana tu

Amandla..
 
anaeona mfumo ya kitaasiasi ni mibovu, si atumie mfumo wake imara sasa, kudeal na hizo kesi ambazo si za panya wala ngendere kuliko kubwekabweka na makelele mengi na mdomo tu:pedroP:
Amefikisha tuhuma zake kwa mifumo ya kweli ambayo ni umma.
 
Kama "Fedha za Chama kuingia kwenye Akaunti ya Mtu binafsi" basi Chama kinahitaji Reforms.
kwani michango binafsi aloomba makamu mwenyekiti kuchangiwa kupitia platforms za chadeama imeenda kwenye mfuko wa nani na kwa maslahi ya nani?

madai binafsi kwa tigo na kwa serikali kwa platforms za chadema yataenda kwenye mfuko we nani, na kwa maslahi ya nani na familia yake?

au nyani bado haoni kundule?:pedroP:
 
Ni ujinga kufikiri vyama vya upinzani kuitoa ccm.. Atakae iondoa ccm madarakani ni ccm yenyewe
 
Hataki tuhuma za jumla jumla, lkn yeye anatoa majibu ya jumla jumla.

Nilitegemea kwa nafasi yake kama katibu mkuu ajibu hoja baada hoja ktk hotuba ya Lisu iliyoleta sintofahamu miongoni mwa wanachama.
Ajibu nini wakati hajapelekewa hizo tuhuma rasimi.
 
Ni ujinga kufikiri vyama vya upinzani kuitoa ccm.. Atakae iondoa ccm madarakani ni ccm yenyewe
Ccm yenyewe haiwezi jiondoa kwenye madaraka
Huu uongo nyerere aliowadanganya ilihali yeye ndo chanzo cha huu uozo wote

Katengeneza tatizo a.k.a mifumo mibovu alafu badae anafanya unabii
 
Back
Top Bottom