Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tunapendwa na wachache, tinachukiwa na wengi, ila tunaheshimiwa na woteMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Fomu hiyo ilikabidhiwa kwa Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. Lissu anatarajia kuirudisha fomu hiyo rasmi kesho.
View attachment 3178788
Picha inazunguza mengi, mnyika na lissu lao mojaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Fomu hiyo ilikabidhiwa kwa Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. Lissu anatarajia kuirudisha fomu hiyo rasmi kesho.
View attachment 3178788
MNYIKA WA MBOWE HAPO ANAONA KABISA ULAJI UNAONDOKAPicha inazunguza mengi, mnyika na lissu lao moja
Hakika!Nchi imetulia Chadema imeingia kazini RASMI.....wa gazeti la Uhuru ni mshangao tu
Kabla ya Chadema kuingia kazini RASMI, nchi ilikuwa na shida gani?Nchi imetulia Chadema imeingia kazini RASMI.....wa gazeti la Uhuru ni mshangao tu
Uko sahihi kuepusha figisu figisu.Lissu anahitaji uchaguzi huru na haki tu kushinda hapa. Kusiwe na mambo ya "wajumbe" kama CCM
Kamati ya maadili ya chama italikata jina la Lisu. Mtego wa Lisu uko hapo.Lissu anahitaji uchaguzi huru na haki tu kushinda hapa. Kusiwe na mambo ya "wajumbe" kama CCM
Vipi hii habari haitakiwi kufika popote duniani? Mbona hujaripoti tukio kubwa hivi?Hakika!
patachangamka sana Mungu amtangulieMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Fomu hiyo ilikabidhiwa kwa Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. Lissu anatarajia kuirudisha fomu hiyo rasmi kesho.
View attachment 3178788
hana baya akapumzikeDuuuh Mbowe kwaheri
Kila la kheri Mh LisuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Fomu hiyo ilikabidhiwa kwa Lissu na Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika. Lissu anatarajia kuirudisha fomu hiyo rasmi kesho.
View attachment 3178788
mbona katupia steki tu bila makongoro huna meno niniWeka nyama kidogo
Muda huu ndio unaamka?Vipi hii habari haitakiwi kufika popote duniani? Mbona hujaripoti tukio kubwa hivi?