Pre GE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Japo sipendi LISSU aiongoze CDM ila Mbowe tulimchoka na tulikua tunagumia chini chini na mpango ilikua twende na Heche ila upepo umebadilika ghafla bin vuu
 
Kichwa cha Habari leo..
"Lissu aitikisa kaskazini "
 
Lissu ameifanyia nini chadema akiwa Makamu mwenyekiti,nje ya kumtukana Magufuli,Saa100 na serikali?
 
Kila kilichopo ccm kipo na chadema, kwa mfano, kabla ya sakata hili nilidhani mambo ya uchawa yako ccm tu.
Uchawa imekuwa tabia sugu nchi nzima na uchawa aliuanzisha jiwe kwa kupenda kusifiwa na kutukuzwa sasa imekuwa hulka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…