John Mnyika amaliza utata pesa za Join the Chain. Ataja kiasi kilichopatikana na kazi zilizofanya. Asema wajumbe wote wa kamati kuu walikuwa wanajua

Kwahiyo Dikteta Mbowe alimwingiza chaka Dalali Wenje?
 
sasa mbona kama wewe ndo mnywa GONGO na Wanzuki
sasa hiyo habari uloleta si ndo nzuli kwa timu LISU
nashangaa umeleta habari ya kuisafisha TIMU LISU halafu unampigia chapuo MBOWE

ama hakika ukishakuwa CCM ubongo unatolewa unawekwa mavi unakuwa unachoongea ukijui kama BWEGE
 
Unakumbuka huu uharo wako uliosema kwa Mbowe,kwa vile umesika kavuta mpunga mkubwa inajilengesha kwake na kumuita mwamba ,utaolewa shauri yako
 

Attachments

  • Screenshot_20241218_213757.jpg
    195.1 KB · Views: 2
Mwamba hapigiwi chapuo bali ndiye mshindi anayesubilia kuidhinishwa tu.
 
Mkutano mkuu wa CCM ndio habari ya Mjini kwa sasa .kila kona ni habari za CCM tu...
UONGO mtupu huu..
 
Wenje bado ana akili za kitoto na kijinga, hafanani na hadi ya watu walioko humo chamani
 
Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.
Kwani hizo pesa zilichangwa na wajumbe wa kamati kuu au wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA? Kina nani wanapaswa kupewa detailed taarifa juu ya mapato na matumizi ya pesa hizi?

Na unadhani kwanini taarifa feki itoke leo wakati mwanachama wenu Peter Msigwa ametoa tuhuma hizi several times na Tundu Lissu kuulizwa mara kwa mara na medias na jibu lake kuwa muulizeni katibu mkuu accounting officer...?
hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo.
Eti chawa wa mama wa CCM Samia Suluhu Hassan wewe Lucas Mwashambwa leo unajaribu kumpaka manukato Mbowe ambaye muda wote umekuwa ukimpaka mavi!!?? Kuna nini kati ya CCM na huyu mwamba..???
Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Jiandae kushangaa, kupigwa butwaa na kugalagala kwa uchungu maana MSIYEMTAKA NA KUMPENDA, ANAWAFUATA HUKOHUKO MLIKO...

TUNDU ANTIPASY MUGHWAY LISSU ndiye mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029..

NO REFORMS, NO ELECTION 2025..
 

Duh umeanza lugha gani hii siku hizi!!!!

Why ikuume sanaaaa Jina kitajwa 🫣🫣🫣

Oyo yoooooo
Kunapambazuka sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…