Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Mimi siyo kapuku .Huyu kapuku hakupata malezi bora ndiyo maana anatamani Samia angekuwa mama yake mzazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siyo kapuku .Huyu kapuku hakupata malezi bora ndiyo maana anatamani Samia angekuwa mama yake mzazi.
Kwani wewe unajiona ni mzima kichwani? Huoni namna watu wanavyo kupuuza na kukudharauMimi wazazi wangu walinilea vizuri ndiyo maana sitamani wazazi wa watu wengine kama wewe boya.
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Mbowe.Kwahiyo Dikteta Mbowe alimwingiza chaka Dalali Wenje?
sasa mbona kama wewe ndo mnywa GONGO na WanzukiWewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili
Unakumbuka huu uharo wako uliosema kwa Mbowe,kwa vile umesika kavuta mpunga mkubwa inajilengesha kwake na kumuita mwamba ,utaolewa shauri yakoMchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo. Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Mimi mzima ndiyo maana siyo chawa kujiuza kwa wenye pesa kama ufanyavyo wewe kapuku utaolewa shauri yakoKwani wewe unajiona ni mzima kichwani? Huoni namna watu wanavyo kupuuza na kukudharau
Mwamba hapigiwi chapuo bali ndiye mshindi anayesubilia kuidhinishwa tu.sasa mbona kama wewe ndo mnywa GONGO na Wanzuki
sasa hiyo habari uloleta si ndo nzuli kwa timu LISU
nashangaa umeleta habari ya kuisafisha TIMU LISU halafu unampigia chapuo MBOWE
ama hakika ukishakuwa CCM ubongo unatolewa unawekwa mavi unakuwa unachoongea ukijui kama BWEGE
UONGO mtupu huu..Mkutano mkuu wa CCM ndio habari ya Mjini kwa sasa .kila kona ni habari za CCM tu...
Hata vichaa wa majalalani hujiona ni wazima na kuwacheka wapita njia.Mimi mzima ndiyo maana siyo chawa kujiuza kwa wenye pesa kama ufanyavyo wewe kapuku utaolewa shauri yako
Kapuku ndiyo maana unajisogeza kwa wenye pesa ili kushibisha tumbo lako lenye utapiamlo.Mimi siyo kapuku .
Binadamu kujigeuza chawa ndiyo wazimu wenyewe huo wewe kapukuHata vichaa wa majalalani hujiona ni wazima na kuwacheka wapita njia.
Siyo kweli .Kapuku ndiyo maana unajisogeza kwa wenye pesa ili kushibisha tumbo lako lenye utapiamlo.
Mbona unatembeza bakuli humu kapuku weweSiyo kweli .
Kakojoe ulale.Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Mbowe.
Wenje bado ana akili za kitoto na kijinga, hafanani na hadi ya watu walioko humo chamaniNdugu zangu Watanzania,
Siweki neno lolote lile zaidi ya kuweka taarifa ya John Mnyika katibu Mkuu wa CHADEMA.👎
#JoinTheChain ilikuwa ni kampeni Maalum iliyofanywa na CHADEMA kukusanya fedha kwa ajili ya uendeshaji wa Chama kati ya mwezi Februari mpaka Mei 2022.
Kwa wakati huo kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kugharamia Mkutano wa Baraza Kuu 2022 ambalo pamoja na agenda nyingine lilisikiliza rufaa za #Wasaliti19 waliofukuzwa uanachama. Baada ya hapo fedha za ziada zingetumika kwenye operesheni za Chama ikiwemo za madai ya #KatibaMpya .
Fedha ambazo Makao Makuu tulipokea kupitia akaunti ya benki na nambari za simu tulizotangaza hapo chini wakati huo zilikuwa shilingi milioni 114. Fedha hizo ziligharamia sehemu ya gharama za Mkutano wa Baraza Kuu la Chama la Mei 2022.
Soma Pia: Ezekiel Wenje: Kuhusu zilipoenda pesa za Join The Chain muulizeni Godbless Lema. Yeye ndo alikuwa Mwenyekiti!
Aidha, pamoja na fedha taslimu kampeni hiyo iliunganishwa pia na ulipaji wa ada na kadi kidigitali ambapo mapato yote kwa ujumla yalikuwa shilingi milioni 371.
Taarifa ya kiwango cha makusanyo na matumizi ilitolewa kwa Kamati Kuu katika vikao vitatu tofauti kwa nyakati mbalimbali hivyo hakuna mjumbe wa Kamati Kuu anayepaswa kusema hafahamu. Majibu sahihi yanapaswa kuwa ama mjumbe hana mamlaka ya kusemea masuala ya fedha au amesahau takwimu.
Nimelazimika kuandika kuhusu suala hili kwa kuwa naona limejirudia rudia mitandaoni na kwenye vyombo vya habari lakini mara zote ambazo Katibu Mkuu nimefanya press conferences halijawahi kuulizwa. Mahesabu ya mwaka husika wa fedha ikiwemo yaliyohusu mapato na matumizi kutoka kampeni #JoinTheChain yalikaguliwa na Mkaguzi wa Mahesabu (CAG) na Chama kikapata hati safi. #StrongerTogether #mkutanomkuuchadema2025
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili
Kwani hizo pesa zilichangwa na wajumbe wa kamati kuu au wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA? Kina nani wanapaswa kupewa detailed taarifa juu ya mapato na matumizi ya pesa hizi?Mchanganuo wanaujua wajumbe wa kamati kuu.
Eti chawa wa mama wa CCM Samia Suluhu Hassan wewe Lucas Mwashambwa leo unajaribu kumpaka manukato Mbowe ambaye muda wote umekuwa ukimpaka mavi!!?? Kuna nini kati ya CCM na huyu mwamba..???hapo ametoa kwa ufupi kuonyesha uadilifu wa Mwamba ambaye aliongoza zoezi hilo.
Jiandae kushangaa, kupigwa butwaa na kugalagala kwa uchungu maana MSIYEMTAKA NA KUMPENDA, ANAWAFUATA HUKOHUKO MLIKO...Ndio maana wajumbe wamejiandaa kumpigia kura za ndio Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini Mheshimiwa Freeman Mbowe kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
Wewe muda wote ni kuropoka ropoka tu kama mlevi wa gongo na kutaja taja tu majina ya watu. Naona una wivu sana kwa mtoto wa Rais .unatamani RAIS Samia angekuwa ndio mama yako mzazi wa kukuzaa. Maana kila muda unamchafua tu japo watu wamekupuuza kwa sababu wanajua hunaga akili