#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu yake .

Binafsi naunga mkono hoja ya Mnyika kwa vile ndege iliyotumika kwenda kuchukua dawa hiyo ya uongo na uzushi ya corona ilikuwa ndege ya umma , hivyo ni lazima kile kilichoenda kuchukuliwa kifahamike kama kilikuwa dawa kweli ama kilikuwa togwa tu kama hizi togwa zetu za kawaida , na ikibainika kama kilichobebwa hakikuwa dawa ya corona basi wahusika wote wawajibike kwa kuliletea Taifa Hasara na ikibidi washitakiwe kwa uhujumu uchumi .

2393157_IMG_20200508_164036.jpg

2393187_20200508_170418.jpg
 
View attachment 1718042

View attachment 1718044
Viongozi wa CCM wanakunywa uchafu mwingi wakidhani ni kinga, chanjo na tiba ya magonjwa MBALIMBALI, hata kabla ya korona
 
Oooh mtetezi wa wanyonge, oooh wananchi wa kipato cha chini, oooh taifa hili ni tajiri 😷!.

Alafu unatumia fedha ya mnyonge kwenda kuchukua non sense remedies.

Hii katiba ndiyo tatizo la haya yote, hata kama siyo sasa but watoto wetu watakuja kufanya yao.
 
Back
Top Bottom