Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu yake .
Binafsi naunga mkono hoja ya Mnyika kwa vile ndege iliyotumika kwenda kuchukua dawa hiyo ya uongo na uzushi ya corona ilikuwa ndege ya umma , hivyo ni lazima kile kilichoenda kuchukuliwa kifahamike kama kilikuwa dawa kweli ama kilikuwa togwa tu kama hizi togwa zetu za kawaida , na ikibainika kama kilichobebwa hakikuwa dawa ya corona basi wahusika wote wawajibike kwa kuliletea Taifa Hasara na ikibidi washitakiwe kwa uhujumu uchumi .