#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

#COVID19 John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

@johnthebaptist hivi hiyo hoja hujaiona. Yaani ndege ya umma inayotokana na kodi za wananchi, iruke kwenda Madagascar na kurudi, kwenda kuchukua kitu ambacho mlipa kodi masikini hata kukigusa tu hajakigusa, ukiachilia mbali kwamba hakijamsaidia, wewe huioni hoja!?
Siku hizi vijana wanaotumikishwa na ccm wanalipwa kwa namna wanavyobishana kufa na kupona , ukibishana sana ndivyo malipo yanaongezeka
 
Mnyika wa 2005-10 alikuwa anaongea point hatari mpaka ccm tulimpigia kura. Huyu mnyika wa 2015-21 sijui ni baada kuwa karibu na kina lema, msigwa kumemfanya awe hivi? Wakati wa dk slaa huwezi kusikia press za hovyo namna hii yan hapo ndio kamaliza [emoji23]
 
Umevaa shati la mbogamboga halafu utegemee kuwa na akili kichwani?
Umejaza TOGWA ya Madagascar kwenye hilo furushi lililo juu ya shingo yako.
 
Kwa hiyo Mnyika akitisha vyombo vya habari kwa ajili ya hilo tu?
 
Back
Top Bottom