Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Ohoooooo!!!Nadhani hata Madagascar wenyewe wanatucheka tu,maana tumeingizwa mkenge mchana kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooooo!!!Nadhani hata Madagascar wenyewe wanatucheka tu,maana tumeingizwa mkenge mchana kweupe
😆😆😆😆CCM ya Magufuli wamekaa kifisadi fisadi zaidi. Kwa nini watumie ndege ya umma kwenda kubebea togwa.
Ha ha ha ha haSi bora wangeenda kufuata vumbi la kongo wakaligawa kwa wananchi kuliko hizo togwa za madagascar
Hata bila mnyika kuzungumza hoja hiyoMnyika kaishiwa hoja!
Jibu hoja Kwanza usituambuze ujinga wakoMnyika kaishiwa hoja!
Hoja gani?!Jibu hoja Kwanza usituambuze ujinga wako
Walitupiga kwani walituuzia?Hata bila mnyika kuzungumza hoja hiyo
Lakini ni kweli serikali ilipoteza pesa tu
In short wamadascar walitupiga
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
@johnthebaptist hivi hiyo hoja hujaiona. Yaani ndege ya umma inayotokana na kodi za wananchi, iruke kwenda Madagascar na kurudi, kwenda kuchukua kitu ambacho mlipa kodi masikini hata kukigusa tu hajakigusa, ukiachilia mbali kwamba hakijamsaidia, wewe huioni hoja!?Mnyika kaishiwa hoja!
Siku hizi vijana wanaotumikishwa na ccm wanalipwa kwa namna wanavyobishana kufa na kupona , ukibishana sana ndivyo malipo yanaongezeka@johnthebaptist hivi hiyo hoja hujaiona. Yaani ndege ya umma inayotokana na kodi za wananchi, iruke kwenda Madagascar na kurudi, kwenda kuchukua kitu ambacho mlipa kodi masikini hata kukigusa tu hajakigusa, ukiachilia mbali kwamba hakijamsaidia, wewe huioni hoja!?
Sasa Kama hujui umecoment nn?Hoja gani?!
NikweliSiku hizi vijana wanaotumikishwa na ccm wanalipwa kwa namna wanavyobishana kufa na kupona , ukibishana sana ndivyo malipo yanaongezeka
Umevaa shati la mbogamboga halafu utegemee kuwa na akili kichwani?Mnyika wa 2005-10 alikuwa anaongea point hatari mpaka ccm tulimpigia kura. Huyu mnyika wa 2015-21 sijui ni baada kuwa karibu na kina lema, msigwa kumemfanya awe hivi? Wakati wa dk slaa huwezi kusikia press za hovyo namna hii yan hapo ndio kamaliza [emoji23]
wayatoe wapi, wanapelekwa pelekwa tu kama mang'ombe na mwenyekt!.Wanaccm tunaomba majibu