John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Updates Saa 11 Alfajiri - 20.12.2019

Freeman Aikael Mbowe Mwenyekiti wa chama Taifa amemteua John John Mnyika kuwa Katibu Mkuu Chadema

Pia Mbowe amewateua Benson Kigaila kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

Katika uteuzi mwingine Kiongozi huyo mkuu wa Chadema amemteua John Heche kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Baraza Kuu kwa kauli moja limeridhia uteuzi huu wa Mwenyekiti wa chama na shangwe zimetawala katika ukumbi huu wa Mlimani city.
 
Aise

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah jamaa huko Mvomero na Moro mjini hawamfahamu kabisa, huyu atakuwa kama Masshinji tu alikuwa hajulikani
Kwa kweli mjadala umefungwa tumempata John Mnyika ashukuriwe Mungu
 
Hongera sana kwa Mnyika, Kigaila na Mwalimu il niwambie hawa ndugu zangu uchaguzi 2020 ccm watafanya kila liwezekanalo kuhakikisha wwnachukuwa majimbo ya upinzani so chama kitaingia kwenye wakati mgumu sana inahitaji upambanaji wa hali ya juu.
 
Mkuu kwa kweli Mwenyekiti kawapatia wananchi machaguo sahihi kabisa.Mnyika na Kigaila ni wapambanaji hasa na wanakijua vema chama.Wamekulia ndani ya chama na wako active kurespond kwenye hoja.
 
Mnyika ni kijana ni mwanafunzi mzuri wa Dr Slaa. Tunasubiri siasa za hoja na ubunifu. Nasubiri mdahalo kati yake na Dr Bashiru wakati wa kampeni za uchaguzi 2020.
 
Hongera Mnyika nafasi inakufaa .Kafanye kazi ya chama,imarisha chama mbadala
Jambo kubwa Mnyika analopaswa kujivunia ni uungwaji mkono alionao kutoka kwa wanachama.Afahamu wanachama wanamuunga mkono kwa kiwango kiwango kikubwa
 
Back
Top Bottom