John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

Hivi Dr Bashiru naye ni Katibu Mkuu? Kweli CCM kuna vichekesho.
Achana na huyo bw. Dr bashiru ndo karudisha mali zote za ccm ambazo mafisadi papa waliokuwa hawaguswi yeye kawang'oa sharubu! Hilo jina chadema hawataki hata kulisikia ktk ukatibu mkuu wake ndo tumeshuhudia wabunge wa upinzani wakihamia ccm! Madiwani na wenyeviti wa vijiji sasa utamlinganisha na myika?
 
Pasco fanya ufanyalo, andika uandikalo lakini Usukuma umeondoa credibility yako hapa jukwaani. Yaani siyo Pasco yule mjenga hoja fikirishi na muelimishaji sasa hivi umekuwa Pasco antichadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau huyu Mashinji sasa hvi kapata cheo gani huko CDM?
 
umeeleweka
 
Asante sana kwa elimu uliyotoa ya Uraia
 
Wewe kinachokusumbua ni njaa tu. Unasimamia hoja zisizo na mashiko na zakipuuzi ili tu upate chochote kwa akina Bashite. Hopeless kabisa.
 
Pasco fanya ufanyalo, andika uandikalo lakini Usukuma umeondoa credibility yako hapa jukwaani. Yaani siyo Pasco yule mjenga hoja fikirishi na muelimishaji sasa hivi umekuwa Pasco antichadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Douglas Sallu, kusema la ukweli, kunituhumu mimi kwa ukabila ni kunionea bure.

Hili la kuniita anti Chadema nimelizoea. Mimi sina chama, chama chochote kikifanya mazuri, nakipongeza na kikiboronga nakikosoa ila imetokea manazi wa Chadema wametamalaki sana humu jf, hivyo ukikosoa jambo lolote kuhusu Chadema, wanakushukia kama mwewe.

Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, nimejitahidi sana kuitetea Chadema


Chadema waliposusa, nikawaombea msamaha na wakakubaliwa

Na baada ya ombi hilo la msamaha ambalo lilikubaliwa lakini Chadema wakaendelea kususa na kuweka mpira kwapani, ndipo nikawaeleza the obvious of 2020
Election 2020 Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!

P
 
Hizo mambo za inteligensia ni outdated mkuu pasco. Harakati za Vyama vya siasa ziko kisheria, siyo uasi wala uhaini, ya nini kupoteza resource nyingi kwenye inteligensia,

tubadilike kimtazamo na kifikra kuwa hatakati za kisiasa ni kwa manufaa ya nchi siyo vikundi maslahi, hivyo hakuna haja ya hofu. Wala inteligensia katika mfumo wa kidemokrasia
Hata kama katambi alikuwa star TV then cdm, hakuna tatizo mkuu kwa kuwa kwenye vikao vya chama kunajadiliwa Sera tu. Siyo kuteka, kunyonga, kuuua wala kuharibu
 
Umesahau mwenyekiti wenu ni PhD feki
 
Mkuu naanza ku doubt IQ yako usitake niamini kuwa mliosoma journalism ni wale failures wa form four,
mkuu kuwa objective kijiko ni spoon, koleo ni spade, ukanjanja hautakusaidia mkuu zama hizi zitapita tu.
 
Mkuu naanza ku doubt IQ yako usitake niamini kuwa mliosoma journalism ni wale failures wa form four,
mkuu kuwa objective kijiko ni spoon, koleo ni spade, ukanjanja hautakusaidia mkuu zama hizi zitapita tu.
Mkuu Mliberali, be free to doubt me, ila mimi ni Tambaza, sikutajii niliscore nini ila nikaenda Ilboru special school, wanaojua wanao join Ilboru wanajua wanapataga nini!, nikajoin TSJ, nikapiga Diploma ya Journalism by then it was the highest as far as the media was concerned, kisha nikajoin UDSM kusomea sheria, LL.B, wanaojua what does it take kujoin sheria ya UDSM wanajua nazungumzia nini, my LL B ni honours, uliza mtu yoyote wa UDSM what does UDSM, LL.B with honours means.

Tunafanya journalism for the love of it na sio kwasababu we are failures and we get nothing of if it bali ni mapenzi tuu! Naomba tuheshimiane!.
P
 
Naomba kuuliza...

Ugonjwa wa akili ni kigezo cha kuwa mwanasiasa?
 
Hivyo Dr.Mashinji katupwa nje kabisa, au yeye kaenda kwenye baraza la wazee?! Kutoka Katibu Mkuu wa chama hadi zero, yani hawakuona mchango wake popote ambapo angeweza kuchangia kwenye chama, licha ya yeye kuhudumu kwa miaka mitano?
 
Hahaha humu watu hawaheshimiani kwasababu kila mtu humu ana PhD ya kila kitu nyuma ya keyboard. Ukitaka kufahamu nasema nini, tafuta Topic hata wanazosoma Allien achana na hizi za binadamu, Ukiipata hiyo topic Anzisha uzi kasha angalia michango ya wajuvi wa JF, hahaha utachoka mwenyewe.

Usipanic, haya maneno tu haya umizi kabisa , unayapotezea tu. Ndio maana kila mtu ni annonymus kasoro wewe. Dharau na madongo ya humu, unayaacha kama yalivyo. watu hawataki kukubali tofauti, wanataka woote humu tuwe na mlengo sawa, mawazo sawa na fikra, kazi na hata vipato sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…