Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Magufuli hataki watu wenye IQ kubwa kama mwembe ndio maana kila siku anaumiza kichwa jinsi ya kumuangusha.Mbowe hataki watu wenye elimu pale mtu kama Heche ana mzidi elimu unategemea nini? Mbowe anataka form six mwenzie kutoka kaskazini ili ampekeshe
Aisee mnyika ni kilaza?Mbowe hataki watu wenye msimamo anataka vilaza kama kina mnyika na Jacob awapelekeshe
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wafamaji wanatafuta pa kuficha aibu yao
Mnachojidsnganya nacho ni kujificha kwenye keyboards na kujifsnya kushutumu.Nina uhakika mtu kama wewe kwenye operesheni Ukuta ulijificha mvunguniNikiri ukweli kwamba sioni mabadiliko ambayo Mnyika atayaleta zaidi ya aliyekuwa katibu mkuu wake Mashinji, utofauti wao ni mdogo sana. Chadema ilihitaji jembe ambalo likisema kesho tunaenda vitani unalikuta kabla ya muda lipo mstari wa mbele, kwa nini sasa mwenyekiti katoa mtu soft kaingiza soft zaidi, au aliona akimpa Heche hiki cheo angeweza KUIMARIKA zaidi na hatimaye itakuwa hatari kwa utawala wake na Lissu? Kariba ya mtu kama Heche naifananisha na Dr. Slaa wa enzi zile siyo wa sasa, na hili lingekisaidia sana chama kupambana na ccm, na kuweka misimamo ya kuitetemesha serikali, ukumbuke utawala wa Mashinji umeisha hata ile mtu kurusha jiwe hakuna,ila swali langu;- Ni kipi Mbowe amekiona kwa Mnyika ambacho Heche hana? au ndo kubadili gia angani na kuachana na siasa za akina Slaa za misimamo mikali au ndo kuweka mtu ambaye atakuwa anafanya yote ambayo anaamua yeye tu?au ndo ameamua chadema kiwe na siasa za upole?
Sent using Jamii Forums mobile app
Blah BlahHeche anatoka Kanda ambayo haina nasaba na mwenyekiti, sharti na kigezo Cha Kwanza Cha katibu ni kule. Nadhani umeniewa
Na kweli ni makada hasa
Porojo as usualMbowe hataki watu wenye elimu pale mtu kama Heche ana mzidi elimu unategemea nini? Mbowe anataka form six mwenzie kutoka kaskazini ili ampekeshe
Mnachojidsnganya nacho ni kujificha kwenye keyboards na kujifsnya kushutumu.Nina uhakika mtu kama wewe kwenye operesheni Ukuta ulijificha mvunguni
Wewe Jamaa bwana....
..upo wewe peke yako!
hapana, kwani wewe ni mwanasiasaNaomba kuuliza...
Ugonjwa wa akili ni kigezo cha kuwa mwanasiasa?
Mkuu Pter, kwanza thanks kwa hii innocent reminder, inawezekana ni kweli nilikuwa na heshima kubwa humu jf, jee hiyo heshima kubwa jf imenisaidia nini?.
Inawezekana kabisa sasa hiyo heshima inashuka hivyo vile vitu ilivyokuwa inanifaidia, heshima ikishuka nitavikosa.
Pia inawezekana kwa kadri ninavyokuwa na heshima kubwa jf, ndivyo ninavyopitia mateso na persecutions, mambo yangu yakitiwa vibano na maisha kuwa magumu, hivyo kwa kadri heshima inavyoshuka, ndivyo vile vibano vinavyoachia
Hivyo kushuka kwa heshima yangu jf, it's a blessing in disguise, soon na mimi nitajiunga na Chama na kuunga mkono juhudi vibano viishe kabisa.
Kama heshima kubwa ya jf hainisaidii lolote kuleta mkate mezani, heshima ya jf ikishuka ndipo mkate unakuja, I choose kitakacho leta mkate.
P